Hili kanisa halina wasimamizi au?

Hili kanisa halina wasimamizi au?

RGforever

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2011
Posts
6,877
Reaction score
5,446
1475146382025.jpg


Inakuwaje Muumini Anaingia na T shirt ya Matusi namna Hii Kanisani .. Na Aliye Nyuma Naye Hajui Kusoma sijui
 
inaonekana waumini wana pepo la kutojua kingredha
 
Tatizo ni lugha na walihimizwa kwamba usomi wa duniani hauna maana saaaana, wautafute tu ufalme wa mbinguni
 
[emoji23] [emoji23] Labda ujumbe ameutuma kwa Pastor huo.(mchepuko wa pastor)[emoji87] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Back
Top Bottom