Hili kabila litanikosesha mke

Hahaha dah! Nimecheka kinoma, imebidi walio jirani watake kujua kilichonivunja mbavu. Too bad hawaelewi kilichoandikwa, na nikitafsiri inapoteza ladha kabisa.

Ukicheka Wewe na kuburudika basi Mimi ndiyo furaha yangu Mkuu. Angalau kidogo nimekuongezea siku zako kadhaa za kukuweka mbali na Israeli mtoa roho.
 
Hahahahahahhahahahahahahah dah unaua mbavu zangu yani hapo safari moja tu hahahahahahhahahahahahahah
 
Wasukuma ukitaka kuwatega tu cheza na chakula utafanikiwa.
 
Hahahahahahhahahahahahahah Dah we GENTAMYCINE yani hua napenda kusoma post zako ni burudani sana hujawahi kushindwa yan unanifanya nawakera watu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] daahhh umeniacha hoooiiii nacheka mwenyewe Kama chizi
 
Kucheka kwenu Mimi ndiyo furaha yangu Wakuu.
 
umetumwa?
 
Gentamycine umeisha sana naomba nijue kabila lako na kama ww sio mtani wangu naomba unilipe..thibitisha muamala faster ohoooo
 
Hivi unaendaje kuoa kabila jingine na mimi msukuma mwenzio OG nipo? Watendee haki nduguzo bana
 
Sawa..nikuelewa sana mkuu
 
Hahahahahahahahahahhaha. Aisee.
 
Gentamycine acha utani tungekula hivyo situngekuwa tunafika tumenenepa sana, hata hivyo kwetu chakula siyo kitu siyo wachoyo
 
Ila Wasukuma jitahidini mpunguze " uroho ". Msinifikirie vibaya na kama nitawakwaza naomba sana radhi ila kwa kukaa kwangu na Wasukuma kama kwa miaka saba ( 7 ) hivi na hata sasa naishi nao bado ila tatizo lenu la uroho wa kupenda kula mnalo. Badilikeni!
 
Nimecheka sana ila msukuma ana tumbo zuri kuna wengine nilisafiri kwenda Mpanda walikula kila tunachokutana nacho njiani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…