Hili jiwe ni la aina gani?

SNAP J

JF-Expert Member
Dec 26, 2013
7,079
7,976
Kama picha zake zinavyoonyesha wakuu.

Naomba kujuzwa hili jiwe linaweza kuwa ni madini ya aina gani!? Maana lina vitu vinavyo ng'aa ng'aa.

 
Tatzo mawazo ya kuwa ipo siku utaokota madini yanakusumbua
.

Peleka idara ya madini wakupe mwongozo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…