youngashley
Senior Member
- Apr 26, 2013
- 187
- 52
- Thread starter
- #21
Kiujumla miundombinu ya uwekezaji ni mbovu, hata wakiwanyanyasa hawa wafanyakazi wnahaki, hao wawekezaji maana hawapati saport yoyote ile kutoka serekalini
Acha wehu kijana hapa hatupigi siasaHawa wafanyakazi wa A to Z ndio walitumika kuujaza uwanja wa sheikh amri abeid mwaka jana, MAGUFULI alipokuja kufanya kampeni.