Hili jambo sijalielewa bado

STG

Member
Feb 11, 2015
59
43
Tatizo la ajira limekuwa ni changamoto kwa vijana wengi sana ndani ya nchi yetu Tanzania,Kila mwaka vijana wanaenda chuo bila kujua hatima ya maisha yao baada ya hapo kuajiriwa au kijiajiri, hata wakitaka ukitaka kujiajiri lazima uwe na idea na capital ,najua ideas zipo nyingi sana ila hapa capital imekuwa na tatizo kuu na hata hizo bank haziwezi kuwasaidia bila security kwani bank zote zipo after profit,Cha ajabu hawa watu wanaosema vijana hawataki kujiajiri ni wavivu na wazembe almost wengi wao ni wafanya kazi hata ideas za biashara au kilimo au ujasiriamali hawana, mbona ninyi waajiriwa hamjiajiri? Ok kujiajiri ni kwema sana sasa mmeweka strategies zip ili hawa baada ya kumaliza chuo wajiajiri? Au watu wanaongea kwenye Tv ili muonekane nanyi mmeongea? Tunajua there are a lot of business ideas.Give them start up strategies na capital na sio kugawa pesa kila mkoa au kijiji bila working plan na muache kuwalaumu vijana maana wapo watu wazee lkn wameng'ang'ana kazi za vijana .Ninachoamini katika dunia ya leo hakuna mafanikio bila kujituma ,kujaribu,kuvumilia,kuamini na ukitaka pesa toa pesa.Mungu awabariki wale wote wanaojituma kweli ipo siku si nyingi watu watakushangaa kwa wingi wa mafanikio yako.Ni marufuku kukata tamaa na kuwasikiliza waliokaa maofisini huku wakiwatupia lawama wanaojituma mtaani
 
Back
Top Bottom