EEM M
JF-Expert Member
- May 20, 2022
- 475
- 980
Habari wana JF,
Leo nimeona nianzishe huu uzi ili kupata hoja zenu maana naamini hapa ndo home of intelligent.
To make it short, kuna huu mfumo wa Serikali wa TAESA ambao ulikuwa unajihusisha na kuwasaidia vijana hasa graduates kupata internship na kazi.
Mfumo huu ulikuwa ni useful sana hasa kwa vijana ambao wanamaljza chuo na hawana waya mrefu (connection) kupata nafasi za kujitolea au hata kupata kazi.
Lakini siku za hivi karibuni mfumo huu umekuwa ni kama haufanyi kazi. Yani hauruhusu watu wapya kufungua account (creating of new accounts).
Nimejaribu mara nyingi sana kutumia kwa kutumia simu bila mafanikio lakini pia nikajaribu kutumia PC mambo bado yakawa vile vile maana wananiletea notification kuwa "This site can't be reached"
Mwenye uelewa na huu mfumo anakaribishwa kuchangia.
Je, bado unafanya kazi? Au serikali imeamua kuufungia? Je, kuna mbadala wa huu mfumo mbali na ajira portal (japo natambua ajiraportal haitoi internship)? Kama upo mwingine, ni upi?
Karibuni wana JF