July Ernest
Member
- Aug 6, 2019
- 25
- 12
Jamani kwa wadada ambao hawajaolewa na wakaka ambao hawajaoa embu njoon tujadili kwanini hatujaoana??
hahaha we mwenyewe hukuwa na kabinti kweli wenyewe wanaitaka pa kumwagia taka!!Binti akijitunza hakosi Mme wa kumuoa! Wengi walio mitaani wameishachakachuliwa kwa kudanga!