Heeee amuombe msamaha kwa kuacha kufa badala ya mdogo wake[emoji24] [emoji24]watu wengine sijui mkoje! ulichoandika ni upumbavu mtupu! na unakeraa, kama ni kweli alikuomba msamaha halafu wewe ukajifanya eti umeumia sana kwa yaliopita, jua mama sio kama mwalimu" mtafute muombe msamaha mama yako! ningekuwa ndo mjomba wako ningekupiga marufuku kufika kwangu mpaka mamaako akuridhie. eti HILI JAMBO LIMENIUMIZA SANA! mangapi we uliomuumiza mamaako!? kama una akili weka mabaya ya mamaako aliokufanyia na mazuri aliokufanyia kwenye mizani sahihi, yapi yanazidi! kitendo cha mamaako kukuomba msamaha haitakiwi uendelee kumsikiliza bali ni kumzuia na badala yake wewe ndo umuombe msamaha yeye! baraka zinkufuata ulipo unazipiga teke!?
Huyo mdogo wako alikuwa wa kiume au wa kike? Pole kwa maswahibu...Habari zenu jamani
Katika familia yangu tumezaliwa wawili
Pole sana.....kama kaja kuomba msamaha inawezekana katambua wapi kakosea.....kaa uongee naye vizuri mjue wapi mlitofautiana na jinsi gani mtarudisha mahusiano ya mama na mtoto.Habari zenu jamani
Katika familia yangu tumezaliwa wawili Mimi nikiwa ndiye mtoto wa kwanza alafu akafwata midogo wangu ambaye tayari ni marehemu mwezi sasa umepita.....nimebaki Mimi na mama yangu baba alishafariki miaka imepita.
Kabla ya mdogo wangu kufariki alikuwa ni kipenzi cha mama sana hilo halikuwa linanisumbua niliona kawaida sana pia hiyo ilitokana na mahusiano ya mpenzi niliekuwa nae mama hakumpenda sana jambo hilo lilifanya Mimi na mama yangu tusiwe na maelewano.
Kitu kilichokuja kuniumiza na nimuone mama tofauti ni siku mdogo wangu alipofariki mama alikuwa akilia wa nguvu na huku akilitaja jina la mdogo wangu na Mimi.......nanukuu( BORA USINGEONDOKA WW KIPENZI CHANGU ANGEONDOKA DADA YAKO (yani mimi)INGEKUWA AFADHARI.
Maneno hayo halikuwa akiyarudia kuanzia mwanzo wa msiba mpaka anazikwa jambo hili liliwashangaza wengi na liliniumiza sana mpaka Leo nikikumbuka Yale roho inaniuma sana nashindwa hata kumuangalia mama yangu naishia kulia.
Pengine nimemkosea mama yangu sana lkn sikutegemea kama anaweza kuombea Mimi kufa imeniumiza sana.
Amekuja leo na baadh ya ndugu akiomba msamaha sijasema chochote nimeishia kulia.nataman niende mbali kwasababu nimejua Mimi si chochote kwake.
Mwenye ushauri au mawazo yoyote kisaikolojia siko sawa.
Ahsante sana ubarikiweMama ni Mungu wa Pili katika dunia hii. Hakuna kitu kibaya kama kumchukia Mama. Unachopaswa kufahamu kuwa hakuna mwanadanu aliyekamilika. Hivyo uambie moyo wako kuwa huyu ni mama yangu na vyovyote itakavyokuwa atabaki kuwa mama yangu. The rest mwachie Mungu. Hata kama utaamua kumchukia haitasaidia. Nakusihi mlipe kwa wema hadi ajue kama wewe unampenda hata kama yeye hakupendi. Ukifanya hivyo Mungu ipo siku atakufanyia wepesi katika mambo yako na familia yako kwa ujumla.
Wahenga walisema: mpe mchawi akulelee mwanao...
Ni kweli lakin kitendo cha kusema vile kimeniumiza sanaWazazi wanauzi sana mkuu,
Msamehe tuu, lakini pia wewe ulimudhi sana kuanzia ulipokuwa mtoto mpaka hapo ulipofikia.
Shukran nitajitahidi kufanya hivo japo imekuwa ngumu kwangu sanaMama yako amekukosea sana..Hata kama mlikua hamuelewani sio sababu ya kuongea maneno hayo wakati wa kipindi kigumu kama hicho. Wewe msamehe tu na Mungu atakusahaulisha yote
Ahsante sanaMsamehe tu maana hawa wazazi wakati mwingine duu lakini hakuna namna samehe tu Mungu ndivyo alivyo pale alipotegemea ndiyo anang'oa hapo hapo ili kutoa fundisho hata kwa wengine
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli nitafanya hivo kisikolojia siko sawa kabisaPole sana mkuu..jitahidi kuifuta hiyo kumbukumbu kichwani (japo ni ngumu; angalau kidogokidogo) na umsamehe Mama yako...
Pia jaribu kutafuta mtaalam wa Saikolojia akusaidie