Ahahahah.Story ya kutunga! Hiyo coincidence ya kuona mke wa mtu anachepuka na njemba???? Huwa wanajificha. Alafu eti ujasiri wa kumuuliza mtu aliyechepuka alafu anakujibu kiulaini??? Alafu eti dakitari kapiga simu mke kapokea na kutoa siri za mgonjwa wake kwa mtu anayejiita mke?? Highest level of lie!