Anakanyaga mapepoHuyo jamaa si atawaua hao kondoo!
Kwa hiyo hao waumini wanaokanyagwa ndo mapepo!Du!Anakanyaga mapepo
Nope..Mapepo yamo ndani yao..Ndo yanakanyagwa..Hapo unaweza hata kupigwa ngumi ya uso ukaambiwa mapepo ndo yanapigwaKwa hiyo hao waumini wanaokanyagwa ndo mapepo!Du!
Teh!Teh!Teh!Kama ni miye najifanya kupandisha pepo halafu namkata mitama ya kutosha kwamba pepo limekasirika na limegoma kutoka.Nope..Mapepo yamo ndani yao..Ndo yanakanyagwa..Hapo unaweza hata kupigwa ngumi ya uso ukaambiwa mapepo ndo yanapigwa