Hili Gazeti ni kama Bombadia

Hili Gazeti ni kama Bombadia

Bwana Mapesa

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2011
Posts
2,551
Reaction score
1,777
Ni mwendo wa hasara hasara...hakunaga anaetumia pesa vibaya.Kweli ujinga wa mtu ndo starehe yake.
IMG-20180509-WA0026.jpg
 
Kosa liko wapi hapo? Mbona hata takwimu zinaonesha hivyo hivyo!!
 
Takwimu zinaanzia huku kwenye notiView attachment 771076
Unajua sababu za kupanda au kushuka thamani kwa shilingi?

Mwaka juzi ilikuwa hivi
1USD= 2400TSHs
Hiyo unayoleta hapa ni hofu yako ya bure,
Dola ya Marekani ni worldwide used currency ambayo lazima iwe juu ya nchi nyingi zenye uchumi mdogo,
 
Hawa wenzetu mbona hivi?
Screenshot_20180509-114553.jpg
 
Unajua sababu za kupanda au kushuka thamani kwa shilingi?

Mwaka juzi ilikuwa hivi
1USD= 2400TSHs
Hiyo unayoleta hapa ni hofu yako ya bure,
Dola ya Marekani ni worldwide used currency ambayo lazima iwe juu ya nchi nyingi zenye uchumi mdogo,
Hata sukari ilikuwa 5000 kwa 1kg ,lakini sasa ni 3000,
 
Kwa alivyo na sifa usikute ... Kachana hicho kipande kabandika getin ikulu
 
Kosa liko wapi hapo? Mbona hata takwimu zinaonesha hivyo hivyo!!
OK, Hakuna kosa, hebu tutajie ni bidhaa gani tunazalisha katika viwanda vipi ambazo tunauza nje ya nchi ipi?

Je unajua kuwa tunaagiza nje hata mafuta ya kula na sukari? wakati tuna ardhi ya kutosha yenye rutuba. Je unajua hata toothpick tunaagiza china?
 
Back
Top Bottom