Hii movie nimeangalia ni moto wa kuotea mbali. Mama mmoja. Kazi moja. Hakuna muda wa kusimama.
Mwanawe anapotekwa, Maia analazimika kukimbia katika mitaa ya London huku akifuata maagizo ya mtu asiyejulikana. Kila sekunde ni muhimu… na kusimama si chaguo.
Filamu yenye kasi, suspense na matukio ya kusisimua kutoka mwanzo hadi mwisho.
Aisee wadau ichi ni chuma.kingine kama ujaiangalia fanya kuicheki mapema
Movie zangu hua naangalia story kwanza ipoje na kibaya kuna movie wanaweka story nzuri ila ndani wameact ujinga km wapo jukwaani, kuna movie moja ya Jason inaitwa Mutiny mimi Jason nazikubari sana movie zake ila hio movie naipa 0/10 director na actors hawa chipukizi wameiharibu imeonekana ya kawaida wakati story ni nzuri