hapo bila Kodi hiyo C&F hadi bongo 109 MLHiyo 109 hapo ni pamoja na kodi au bado hujalipa kodi?. Maana kwa Tz kodi ndio ununuzi wa gari lenyewe,achilia mbali ununuzi wa gari Japan na usafirishaji wake. Hizi gari zozote kwa wamalawi na zambia ni kama kuokota tu. Kodi iko chini kabisa,jiulize hapo hawana bandari. Sisi wenye bandari ni kama wakimbizi ndani ya nchi yetu kwa kodi za ajabu
Ingia kwenye website ya TRA wana sehemu ya kukokotoa kodi ya garihapo bila Kodi hiyo C&F hadi bongo 109 ML
"Kila mbuzi hula urefu wa kamba yake"Duuu sio mchezo mkuu unasearch kununua gari ya milioni 200? Au mwenzetu upo Forever Living au Forex kama Ontario?
Mbona Diamond Platnumz analo. Tena anayo mawili.Duuu sio mchezo mkuu unasearch kununua gari ya milioni 200? Au mwenzetu upo Forever Living au Forex kama Ontario?
Mkuu kuna siri kubwa sana kwa hawa wasanii ,ukijua hautoumiza kichwa hata ukimkuta Domo ana Hummer H2 kama la 50 cent au Benz la mil 600 kama la bakharesa!!!!! Kwanza ile X5 nyeusi kashamaliza deni?Mbona Diamond Platnumz analo. Tena anayo mawili.
X5??? Ya lini hiyo.Mkuu kuna siri kubwa sana kwa hawa wasanii ,ukijua hautoumiza kichwa hata ukimkuta Domo ana Hummer H2 kama la 50 cent au Benz la mil 600 kama la bakharesa!!!!! Kwanza ile X5 nyeusi kashamaliza deni?
Gonga humo humo. We nunua bhana. Maisha yenyewe ni haya haya man 🤣 🤣 🤣🤣"Kila mbuzi hula urefu wa kamba yake"
TRA wana equation yao inakupa mahesabu yote mpk unishika mkononi, ingia kwenye website yaohabari wadau?
Katika kuperuzi kwenye site mbalimbali zauuzaji wa magari online nimekutana nahizi gari za wakubwa Toyota land cruiser V8 model ya 2017
Befoward wanataka kiasi cha pesa ML:109 na cent zake iliwakutumia hii gari je hapa kwetu Tanzania hawajamaa Kodi inaweza kukadiliwa kiasi gani? View attachment 1603807
habari wadau?

Reference Number: | 20211096671 |
Make: | TOYOTA |
Model: | LANDCRUISER SERIES 200 / 201 / 202 GX / STANDARD |
Body Type: | SUV |
Year of Manufacture: | 2017 |
Country: | JAPAN |
Fuel Type: | DIESEL |
Engine Capacity: | 2501 CC & ABOVE |
Customs Value CIF (USD): | 48,404.50 |
Import Duty (USD): | 12,101.13 |
Excise Duty (USD): | 6,050.56 |
Excise Duty due to Age (USD): | 0.00 |
VAT (USD): | 12,205.96 |
Custom Processing Fee (USD): | 290.43 |
Railway Dev Levy (USD): | 726.07 |
Total Import Taxes (USD): | 31,374.14 |
Total Import Taxes (TSHS): | 72,444,770.21 |
Vehicle Registration Fee (TSHS): | 550,000.00 |
TOTAL TAXES (TSHS): | 72,994,770.21 |
Tatizo hawaelewekagi mkuu,unaweza ukafuata huo mtiririko na ukajikusanya kwamba ndinga ikifika nafunga kipindi,lakini unaweza ukakutana na vitu tofauti kabisa. Vinginevyo namshauri huyu anaetaka kuvuta huyu mnyama afunge kipindi chote na hao beforwad,yeye ni kudokoa ndinga tu na kuitia mkononi
Reference Number: 20211096671 Make: TOYOTA Model: LANDCRUISER SERIES 200 / 201 / 202 GX / STANDARD Body Type: SUV Year of Manufacture: 2017 Country: JAPAN Fuel Type: DIESEL Engine Capacity: 2501 CC & ABOVE Customs Value CIF (USD): 48,404.50 Import Duty (USD): 12,101.13 Excise Duty (USD): 6,050.56 Excise Duty due to Age (USD): 0.00 VAT (USD): 12,205.96 Custom Processing Fee (USD): 290.43 Railway Dev Levy (USD): 726.07 Total Import Taxes (USD): 31,374.14 Total Import Taxes (TSHS): 72,444,770.21 Vehicle Registration Fee (TSHS): 550,000.00 TOTAL TAXES (TSHS): 72,994,770.21
duh aisee bwana weee yani Kodi wanachukua almost 73 Milion atuwezi kutoboa kwa utawala huu

Kabla ya hiyo alikuwa nayo Nyeusi.X5??? Ya lini hiyo.
Nachojua Dangote ana X6 rangi ya baharia hivi (sio nyeusi)
View attachment 1604101