jidula mabambasi
Senior Member
- Jan 26, 2016
- 125
- 102
Jamani sijui ni ugeni wa huu mji wakuu, nimo ndani tu nimeshindwa hata kutoka niko kama kuku wa kizungu.
msaidiee bhanaafanya mazoezi pendwa
Ibilisi sitaki shindwa kabisamsaidiee bhanaa
jamani!!, sio vizuri msaidiee tuu...Ibilisi sitaki shindwa kabisa
nimekataaa kata katajamani!!, sio vizuri msaidiee tuu...
sio vzr, kumbe wewe sio mtu mzurni
nimekataaa kata kata
kabisa aiseesio vzr, kumbe wewe sio mtu mzur
we mchagga hufai, ubahili mwingine sio bhanaaakabisa aisee
ha a haha nacheka na ibilisi .. nitoke miewe mchagga hufai, ubahili mwingine sio bhanaaa
nakuja inbox, mana na huku kamvuaa kashaanzaha a haha nacheka na ibilisi .. nitoke mie
komaaanakuja inbox, mana na huku kamvuaa kashaanza
Ni EritreaHivi Mwanza ni Tanzania?
mwenyewe mwenyewe ngumu mama, inataka utie tie maji....komaaa
Umemshauri vizuri, kama anataka demu aende pale jengo la ccm mkoa wapo makada wengi ambao wana hali mbaya hasa baada ya shughuli za uchaguzi kwisha. Sii unajua wakati huo unavaa tuu kijani basi akija yule jamaa alifumaniwa Igunga au wengine unapewa tuu ukamburudishe.Tafuta demu, au zungusha mikono kama chadema