Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,538
- 15,739
Aisee hizi zinachekesha mno mno! Hiyo ya find x ni kiboko! Watoto mara nyingi wanatumia logic badala ya ufahamu kiasi kwamba kwenye mtihani unajiuliza: Hili jibu alilotoa nimpe 0 au 5%?
Tatizo kubwa ni framing ya maswali ya mtihani. Kwa nini kwa mfano unauliza find x badala ya what is the value of x?
Waalimu wanatakiwa 'waframe' maswali yao ili yaeleweke.