Alafu unakuta mtu hapo ni mbishi wa kuoga!!!
Hata mimi mkuu swali langu kubwa lilikuwa ni hilo baada ya kuiona hiyo picha.Wanajisaidia wapi? Ni kwenye madumu na mifuko ya plastic au inakuwaje?
Wapi hapa
Watakuwa wanajisaidia ndani ya majiWanajisaidia wapi? Ni kwenye madumu na mifuko ya plastic au inakuwaje?
Lagos: A city where you keep up or fall behind | Daily MaverickMkuu hii siyo Nigeria kweli?