Hiki ni kielelezo CCM wamekuwa wakishindwa na wao wakisema tumeshinda

Nime-enjoy sana mtukufu kuangukia pua, yale mafisi ya Lumumba hayapiti huku tena!
 
Kwanza tuliambiwa aliongoza kwa mbali sana. CCM walishagoma kabisa kujifunza kuwa uongo haudumu. Wamefoji magazeti ya Ulaya kuwa yanamsifu JP wee, wakaona tumeshaingia king. Wakaja na hili.
 
Hivi Magufuli aliingia kwenye hayo mashindano?
Si tu kuwa aliingia lakini hata mafisi ya Lumumba yalilipwa fedha nyingi tu ili kupiga kura mara nyingi iwezekanavyo wakisau kwamba si uwingi wa kura pekee ndio unakupa ushindi bali kuna masuala mengine yanaangaliwa kumpata mshindi.
 
Tunataka kusikia kuwa rais amechukizwa na jambo hili na awe mhusika mkuu wa kuchukua. Kwani anajisikiaje akiona taarifa na picha hii?
 
Faida yake ushindi huo ni nini??
Mbona mahangaiko ya kutafuta vijisifa visivyo na faida kwa watu wa Tanzania?
 
tumshukuru tu mungu jamaa kashindwa. Je angeshinda si ingekuwa aibu kwasabab angeitwa kupokea tuzo na hapo lazima ajielezee Kwa kiingereza maamae walahi jamaa angebak qujamberjamber stejin
 
Sasa CCM inahusikaje hapo?

Ndio walionyesha kushabukia hilo. Ikafikis mpaka mahali vyombo vya habari viliripoti kuwa ameshinda tuzo hiyo. Hata ww uliona hizo sifa za kijinga japo unajifanya hujui. Kikubwa ccm walijifanya kiongozi wetu anakubalika sana ila wapinzani ndio wanaona donge.
 
kwa namna walivyojitapa humu sijui wanajisikiaje kwa kuongopa mchana kweupe ili hali mshindi wanamfahamu

Mi naona hiyo team husika ina volunteer tu kufanya mambo ya kijinga kama hayo ya kumfagilia na kumpaisha kiuongo mkuu, inawezekana mwenyewe maskini hana hata habari wala hahusudu hiyo misifa fake, wanamdhalilishaa mwenzao pasipo sababu yoyote ya msingi, kwa nini sheria ya mitandao isiwahusu hao watu?
 
Sio bahati mbaya focus yao wanadhani huu uongo wao wanawadanganya watu wa kaitaba tena kwa mara nyingine
 
Hapa ndio utaona ukawa wakijipinda na kujibinuabinua kushangalia upuuzi.
 
kichomiz.
Sasa ninaweza kujua kwanini JPM amelazimisha mswada wa sheria ya Huduma za Habari upitishwe Bungeni na tayari amesha usaini. You know what?JPM alitaka kuruhusu huu UONGO WA KUSHINDA FORBES upite na usihojiwe. Kweli JPM na CCM ni shida siyo Tanzania tu baali kwa dunia nzima.

Mimi naomba kama kuna Wanasheria hapa Tanzania au Kenya basi wachukue hatua za maksudi za kuwapeleka CCM na JPM Mahakamani kwa kughushi, wahukumiwe na wafungwe au kulipa faini na iwe fundisho kwao. Hatuwezi kutawaliwa na Serikali ya Matapeli na wenye Kughushi mitandao ya watu!! Shame on you CCM and your Presida.
Mtandao wa Forbes here under tells the story:

Forbes Africa (@forbesafrica) | Twitter

Kwa mtindo huu ndiyo maana JPM akasema ANATAMANI MITANDAO YOTE YA KIJAMII IFUNGIWE ILI IKIISHA MIAKA 5 NDIYO IFUNGULIWE! What a narrow and shameful thinking? Roho ileile ya KUPIGA MARUFUKU VYAMA VYA SIASA KUTOFANYA MIKUTANO ili kutotaka kukosolewa na kuumbuliwa !!!!!
Hii imeshangaza wengi sana kwa kweli wametumia KTN television kuhalalisha uongo wao,hapa wameichafua TV station ya watu kuaminisha uongo wao wanatakiwa washtakiwe
 
Umenena vema.Lakini huo ushauri kuwa JPM awachukulie hatua hao vijana ni kazi bure.kwani alichukua hatua gani juu ya habari za wabunge wa chama chake kuhongwa ?
 
Back
Top Bottom