Hiki ni kielelezo CCM wamekuwa wakishindwa na wao wakisema tumeshinda

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,899
Hakuna jambo limenishangaza kama kusambaa kwa hii picha ya kughushi mitandaoni. Picha hii imetengenezwa (photoshop) na vijana wa CCM kuonesha eti JPM ndiye aliyeshinda tuzo za Forbes POY 2016. Halafu bila aibu wanaisambaza huku wakijua wazi mshindi aliyetangazwa ni Thuli Madonsela, Mkurugenzi wa mashtaka wa zamani wa Afrika kusini. What a shame.!

Hiki ni kielelezo kuwa CCM wamekuwa wakilazimisha kushinda hata katika mazingira ambayo yanaonesha wazi kuwa wameshindwa kabisa.

Mbaya zaidi wametumia nembo ya KTN jambo ambalo ni kosa kisheria. Tayari televisheni ya KTN imekanusha kuripoti habari hiyo. Pengine KTN wanaweza kuchukua hatua za kisheria (kama wakiamua kufanya hivyo), kwa nembo yao kutumika kusambaza uongo.

Aibu kubwa zaidi ni kwamba ukurasa rasmi wa chama cha mapinduzi (CCM) uliweka picha hii na kumpongeza JPM jana usiku, kabla ya kuiondoa usiku huohuo, baada ya watu wengi kuwashushua.

Kitendo cha CCM kuweka picha hii ya kughushi katika ukurasa wao rasmi ni kielelezo kuwa picha hii haikutengenezwa kwa bahati mbaya. Bila shaka ni mpango rasmi ulioratibiwa na chama hicho katika kulazimisha "bao la mkono" kama walivyozoea.

Kwa ujinga wao wanadhani mtu kuona picha hii tu ataamini kuwa JPM kashinda. Hawana backup yoyote ya taarifa nyuma ya picha hii. Hakuna tovuti yoyote iliyoonesha JPM kashinda. Ukiwaambia wakupe link ya hiyo taarifa yao hawana. Hata tovuti rasmi ya waandaaji wa tuzo hizo inasema mshindi ni Thuli Madonsela. CCM wanaishia kusambaza picha ya kutengenezwa. Hawana link, hawana gazeti lolote lililoandika, hawana hata picha nyingine zaidi ya hii

Bado sielewi CCM wamepata wapi ujasiri wa kutunga uongo mkubwa namna hii. Ili iweje? Hivi ulimwengu wa leo unawezaje kudanganya watu kijinga hivi wakati wana access ya kupata taarifa na kujua ukweli?

CCM ni waroho wa kura na hawako tayari kushindwa hata katika mazingira yanayoonesha wazi kuwa wameshindwa. Yapo madai kuwa walilazimisha ushindi bara, wakalazimisha ushindi visiwani, sasa wanataka kulazimisha ushindi kimataifa. Aibu, aibu, aibu.

Bahati mbaya uongo hudumu kwa muda mfupi tu, lakini ukweli hudumu milele. Unaweza kudanganya watu kwa muda tu lakini wakija kujua ukweli watakudharau. CCM aibu wanayoipata kwa kusambaza uongo huu ni kubwa, ni heri wangekaa kimya tu hata kama imewauma kupoteza.

Kama JPM hatachukua hatua kwa vijana wa CCM waliofanya kazi hii, tena awachukulie hatua kali na mataifa ya nje yajue basi itamcost sana. Maana akikaa kimya mataifa ya nje yatajua kwamba either alishiriki au alifurahishwa na "fraud" hii.

Nawashauri mawakili wa kitanzania wawasaidie KTN kuchukua hatua za kisheria kwa brand yao kutumika vibaya. Watumie taarifa iliyowekwa kwny ukurasa rasmi wa CCM kama initial grounds za kufungua kesi, mshtakiwa namba moja akiwa chama cha mapinduzi.

Sijawahi kuona upotoshaji wa kitoto namna hii. Kuna vitu unaweza kudanganya lakini sio jambo kama hili ambalo ukweli wake unajulikana dunia nzima.

Ni sawa na mwanao kupata zero form four halafu anakudanganya amepata division one, akitegemea utaamini kirahisi. Anaaenda kuprint matokeo yake na kuedit aonekane amefaulu. Huku ni kujidanganya mwenyewe. Ni sawa na kujilisha upepo. Ukitaka ukweli unaingia tu kwenye website ya Necta unaona zero yake ilivyoning'inia. Hiki ndicho walichokifanya CCM.

Picha hii imeleta aibu kubwa kwa taifa, aibu kubwa kwa nchi, aibu kubwa kwa utanzania wetu. Mataifa ya nje hayatajua utoto huu umefanywa na vijana wa CCM, wao watadhani ni watanzania tumeamua kupotosha baada ya Rais wetu kushindwa. Aibu hii tutaiweka wapi?
 
Attachments

  • picture.jpg
    picture.jpg
    20.2 KB · Views: 63

Kughushi Forbes na uvccm mbinu yake tofauti na NEC inapoghushi uchaguzi mkuu.
 
Mkuu hiyo ni aibu ya ccm sio watanzania
 
Nashauri kamanda Sirro aingilie kati Magufuli kushindwa na atumie nguvu za kijeshi kurudisha nidhamu kwa hawa watoa tuzo
 
Urais pia alishindwa na yeye anajua. Ndio maana JK alimwambia ambane Lowassa asionekane popote.
Umenena vema mkuu JPM analijua hilo lakini kumbe ndio anampa umaarufu zaidi siku ikifunguliwa hiyo fulsa ya mikutano ni nyomi mara mia huyu Magu sijui anapigaje hesabu zake halafu analeta hali ngumu kila mahali.
 
kwa namna walivyojitapa humu sijui wanajisikiaje kwa kuongopa mchana kweupe ili hali mshindi wanamfahamu
 
nataka kuona sheria ya makosa ya mtandao hapa inafanya kazi,ndio nitaamini sheria ni msimeno
 
Hakuna jambo limenishangaza kama kusambaa kwa hii picha ya kughushi mitandaoni. Picha hii imetengenezwa (photoshop) na vijana wa CCM kuonesha eti JPM ndiye aliyeshinda tuzo za Forbes POY 2016. Halafu bila aibu wanaisambaza huku wakijua wazi mshindi aliyetangazwa ni Thuli Madonsela, Mkurugenzi wa mashtaka wa zamani wa Afrika kusini. What a shame.!

Hiki ni kielelezo kuwa CCM wamekuwa wakilazimisha kushinda hata katika mazingira ambayo yanaonesha wazi kuwa wameshindwa kabisa.

Mbaya zaidi wametumia nembo ya KTN jambo ambalo ni kosa kisheria. Tayari televisheni ya KTN imekanusha kuripoti habari hiyo. Pengine KTN wanaweza kuchukua hatua za kisheria (kama wakiamua kufanya hivyo), kwa nembo yao kutumika kusambaza uongo.

Aibu kubwa zaidi ni kwamba ukurasa rasmi wa chama cha mapinduzi (CCM) uliweka picha hii na kumpongeza JPM jana usiku, kabla ya kuiondoa usiku huohuo, baada ya watu wengi kuwashushua.

Kitendo cha CCM kuweka picha hii ya kughushi katika ukurasa wao rasmi ni kielelezo kuwa picha hii haikutengenezwa kwa bahati mbaya. Bila shaka ni mpango rasmi ulioratibiwa na chama hicho katika kulazimisha "bao la mkono" kama walivyozoea.

Kwa ujinga wao wanadhani mtu kuona picha hii tu ataamini kuwa JPM kashinda. Hawana backup yoyote ya taarifa nyuma ya picha hii. Hakuna tovuti yoyote iliyoonesha JPM kashinda. Ukiwaambia wakupe link ya hiyo taarifa yao hawana. Hata tovuti rasmi ya waandaaji wa tuzo hizo inasema mshindi ni Thuli Madonsela. CCM wanaishia kusambaza picha ya kutengenezwa. Hawana link, hawana gazeti lolote lililoandika, hawana hata picha nyingine zaidi ya hii

Bado sielewi CCM wamepata wapi ujasiri wa kutunga uongo mkubwa namna hii. Ili iweje? Hivi ulimwengu wa leo unawezaje kudanganya watu kijinga hivi wakati wana access ya kupata taarifa na kujua ukweli?

CCM ni waroho wa kura na hawako tayari kushindwa hata katika mazingira yanayoonesha wazi kuwa wameshindwa. Yapo madai kuwa walilazimisha ushindi bara, wakalazimisha ushindi visiwani, sasa wanataka kulazimisha ushindi kimataifa. Aibu, aibu, aibu.

Bahati mbaya uongo hudumu kwa muda mfupi tu, lakini ukweli hudumu milele. Unaweza kudanganya watu kwa muda tu lakini wakija kujua ukweli watakudharau. CCM aibu wanayoipata kwa kusambaza uongo huu ni kubwa, ni heri wangekaa kimya tu hata kama imewauma kupoteza.

Kama JPM hatachukua hatua kwa vijana wa CCM waliofanya kazi hii, tena awachukulie hatua kali na mataifa ya nje yajue basi itamcost sana. Maana akikaa kimya mataifa ya nje yatajua kwamba either alishiriki au alifurahishwa na "fraud" hii.

Nawashauri mawakili wa kitanzania wawasaidie KTN kuchukua hatua za kisheria kwa brand yao kutumika vibaya. Watumie taarifa iliyowekwa kwny ukurasa rasmi wa CCM kama initial grounds za kufungua kesi, mshtakiwa namba moja akiwa chama cha mapinduzi.

Sijawahi kuona upotoshaji wa kitoto namna hii. Kuna vitu unaweza kudanganya lakini sio jambo kama hili ambalo ukweli wake unajulikana dunia nzima.

Ni sawa na mwanao kupata zero form four halafu anakudanganya amepata division one, akitegemea utaamini kirahisi. Anaaenda kuprint matokeo yake na kuedit aonekane amefaulu. Huku ni kujidanganya mwenyewe. Ni sawa na kujilisha upepo. Ukitaka ukweli unaingia tu kwenye website ya Necta unaona zero yake ilivyoning'inia. Hiki ndicho walichokifanya CCM.

Picha hii imeleta aibu kubwa kwa taifa, aibu kubwa kwa nchi, aibu kubwa kwa utanzania wetu. Mataifa ya nje hayatajua utoto huu umefanywa na vijana wa CCM, wao watadhani ni watanzania tumeamua kupotosha baada ya Rais wetu kushindwa. Aibu hii tutaiweka wapi?
Wamuulize mzee six aliyelazimisha goli la mkono bunge la katiba kalipwa nini
 
Back
Top Bottom