Hiki ndo chakula cha jana

20PROFF

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2013
Posts
8,217
Reaction score
7,255
Hapa watu walipasha chakula cha usikuuu, tayar kwa matumizi.
 
Attachments

  • 1424024991254.jpg
    26.6 KB · Views: 1,434
Mhhh,hapo lazima kiwe na joto la uhakika,lakini naona kama anapasha moto vyakula vyote viwili hapo...je ulikula kipi?,teh teh teh...
 
Umeon vyakula gani,mkuu……?

Mkuu nimevaa miwani nina matatizo ya macho ila kwa mbali naona kuna mboga mbili za kulia wali..mboga ya majani ya kisamvu na harage au nimekosea mkuu?...
 
Mkuu nimevaa miwani nina matatizo ya macho ila kwa mbali naona kuna mboga mbili za kulia wali..mboga ya majani ya kisamvu na harage au nimekosea mkuu?...

Unalugha zenye tafsida safi, kabsa.
sasa maharage na kisamvu kipi ni kizuri kulia muhogo……?
 
Unalugha zenye tafsida safi, kabsa.
sasa maharage na kisamvu kipi ni kizuri kulia muhogo……?

Mkuu mimi nachagua ndondo,kisamvu sikiwezi mkuu kwani kina chumvi nyingi mno kwani nina tatizo la pressure hivyo hakinifai..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…