Qualifier
JF-Expert Member
- Dec 14, 2012
- 1,252
- 408
ukiona hivyo jua alicho kipata sicho alicho tarajia utamkuta mwanamke mzima anawatoto unapo kutana naye siku ya kwanza baada ya kumsalandia muda mrefu anajifanya mgeni wa mechi eti nifundishe basi nifanyeje? sasa kunahaja ya kumrudia mtu kama huyo?