Nazjaz
JF-Expert Member
- Jan 20, 2011
- 7,850
- 9,423
Unakuta mwanaume kakufuatilia kwa muda mrefu sana, ukimmkubalia anaanza kukubembeleza kama anaomba kazi ili ukalale nae. Mkilala nae humuoni tena, hakupigii wala hakutafuti na ukimpigia anapokea kisha anakwambia mtu unayemtafuta kisha kata roho, tafuta bwana mwingine as if wewe ndio uliyekuwa ukimsarandia.
Kumbuka unacho mtendea dada wa mwenzio na dada yako atatendewa hivyo hivyo.
Kumbuka unacho mtendea dada wa mwenzio na dada yako atatendewa hivyo hivyo.