Tusipokua makini wataharibiwa na Uyanga na Usimba hawa.Cha msingi TFF waturudishie aliyekuwa kocha wa serengeti boys enzi hizi.
Watatu kutoka kwenye timu hii wamesha pata timu nje ya nchi.View attachment 1156976
Sio generation yk ilivyotoka iyo ndio imekuja y kelvinyaani yule dogo kevin john hayupo haupo serious kabisa
Ila umri sio kigezo cha kutoitwa taifa stars, I think. Af kuna Yule Lema wa kule Austria Naye haitwi kabisa.Nganzi bado mdogo sana 18 yrs.. ila kwa sasa yupo fiti. Ni kiungo mzuri sana.
JF haiachi kitu...Cha msingi TFF waturudishie aliyekuwa kocha wa serengeti boys enzi hizi.
Watatu kutoka kwenye timu hii wamesha pata timu nje ya nchi.View attachment 1156976
Kim Poulsen angeifikisha Tanzania mbali sana ila TFF waliona anawazibia ulajiTff kosa walilofanyaga ni kumfukuza Kim pouseln
Wapumbavu sana hawa tffKim Poulsen angeifikisha Tanzania mbali sana ila TFF waliona anawazibia ulaji
Kim hakuwa mzee,acha hizoWapumbavu sana hawa tff
Mzee yule hao vijana wote ni kazi yake aliwaandaa toka zamani mnoo.
Nchi za wazungu watu kama kina Paulsen ni muhimu tatizo huko ulaya kwao kuna vichwa zaidi yake.
Pale Leicester kuna mzee yeye ndo injinia ya team kaleta wachezaji na kuibua kibao.
Arsenal kuna edu pale ..
Pombe sio nzuri kabisa unajua miaka yake
Wewe ngedere ,tumbiri kikaragosi utumbo wa mbwa .Una tatizo la akili sehemu sio bure.
Umeni quote kuwa Kim sio mzee
Ulishindwa nini kutaja umri wake uni prove wrong?
Majitu mengine sijui mmelaaniwa?