Hiki Ndio Kifo cha Upinzani Tanzania

Hiki Ndio Kifo cha Upinzani Tanzania

Tangia kuanzishwa kwa vyama vingi Nchini takribani zaidi ya miongo miwili iliyopita,Vyama vya Upinzani havijawahi kupitia kipindi kigumu cha majaribu kama awamu hii ya Tano.

Ni kana kwamba kuna mpango mkakati wa kuvifutilia mbali hivi vyama vya upinzani, ukiangalia mtiririko wa matukio Makubwa Mabaya dhidi ya Upinzani utapata Picha ya nini kitatokea hapo mbeleni.

Hebu tuangazie Matukio yafutayo tuone kifo cha upinzani kinavyokuja

KIFO CHA CUF.

Kifo Cha CUF kimeandaliwa kupita Prof mwenyewe na Taasisi kadhaa zenye Maamuzi. Mambo yanavyoendelea CUF hasa huku bala ni dhahiri shahiri imeshaangalia Kibra yaani inasubiria kupitishiwa kisu tu. Kumbuka kuna CUF mbili CUF Mbumbo na CUF OG (original). Pamoja na kua kuna Outstanding Cases kibao Mahakamani dhidi ya CUF Mbumbo lakini ndio kila kukicha inapewa Upendeleo na kila Taasisi za kimaamuzi sio NEC, sio Bunge na hata Serikali yenyewe. Hii ndio mwisho kabisa usitegemee kuiona CUF ngangali kama ya kipindi kile, Prof Kaizika CUF Kihindi, `Kaichoma Moto Maiti`

KIFO CHA ACT WAZALENDO

Ni Kifo rahisi mno

Kifo chao hakihitaji mambo mengi saana kwani hata mwanzo kilitumika kama Authorazed Branch ya CCM. Chama kinakufa kwa kupewa Sub Serikalini basi. Na huyo aliebaki atapewa nafasi serikalini na ndo Mchezo utakua umeishia hapo.

KIFO CHA CHADEMA NA WASHIRIKA WAKE

Hiki sasa ndo kitakua kifo cha Mtu mzima afi kizembezembe.

Hapa kitausika Full kikosi cha maangamizi, sio Police, sio usalama wa Taifa,sio Bunge,sio serikali na taasisi zake tu bari hata mahakama zitahusika yaani haponi mtu hapo.

Kwa Combination za mbinu kadhaa kadhaa za kuihujumu Chadema kama tunavyoona naamini sio muda mrefu Chadema nayo itakaa chini pamoja na washirika wake wote wa UKAWA.

Sasa tunashuhudia Key members kama Tundu Lissu wanavyosakamwa na Tuhuma mbalimbali ili kuwa slow down kabla ya kuwakalisha chini jumla, tunaona Madiwani wanavyoshawishika kukitosa Chama, yaani mpaka tutakaporudi mitamboni mwaka 2020 itakua wameshakarishwa chini wote.


Ni ngumu kuamini lakini naomba tujiandae kiisaikolojia kuishi katika siasa zinazotawaliwa na Chama kimoja.

Cha Muhimu Hapa ni Amani tu Basi

Asanteni.
Naona mwigulu unatafuta kiki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania hakuna upinzani.Viongozi ni hao hao miaka yote,wagombea ni hao hao na wengine wameshajitangaza kugombea kabla hata vyama havijatangaza mchakato
 
Tanzania hakuna upinzani.Viongozi ni hao hao miaka yote,wagombea ni hao hao na wengine wameshajitangaza kugombea kabla hata vyama havijatangaza mchakato
 
Nimebahatika kuwasikiliza watu wengi wengi kidogo; walioko mtaaani ukweli ni kwamba mtu mweusi atabaki kuwa mweusi!!

Ustaarab wa kukubali kukosolewa, na kuvumilia na kujirekebisha either indirect or direct bado sana!

Mimi naiona Tanzania ya chama kimoja, naiona Tanzania inayoendelea kupunguza gap kati ya mtu wa kipato cha juu na cha kati wote kushuka kipato cha chini!

Hii serikali inamtaji wa ujinga wa watanzania zaidi ya 40milion ambao by nature ni dark africans with dark mind set!!

Watu wetu hawana resoning, hawana facts in decition making!wanapenda kuona scene bila behind the scene!! Yote nikutokana na kuishi kwa mind set ya kuajiriwa kutokea kwenye familia zenye deep poverty!! Ivyo kishi kwa unyenyekevu wakupigia magoti what we call (gov)

Pole tanzania na watanzania, pole africa!

It will take us 40bilions of years to develop: the suprise is, we will no longer be here! So we will never develop!!
 
Tangia kuanzishwa kwa vyama vingi Nchini takribani zaidi ya miongo miwili iliyopita,Vyama vya Upinzani havijawahi kupitia kipindi kigumu cha majaribu kama awamu hii ya Tano.

Ni kana kwamba kuna mpango mkakati wa kuvifutilia mbali hivi vyama vya upinzani, ukiangalia mtiririko wa matukio Makubwa Mabaya dhidi ya Upinzani utapata Picha ya nini kitatokea hapo mbeleni.

Hebu tuangazie Matukio yafutayo tuone kifo cha upinzani kinavyokuja

KIFO CHA CUF.

Kifo Cha CUF kimeandaliwa kupita Prof mwenyewe na Taasisi kadhaa zenye Maamuzi. Mambo yanavyoendelea CUF hasa huku bala ni dhahiri shahiri imeshaangalia Kibra yaani inasubiria kupitishiwa kisu tu. Kumbuka kuna CUF mbili CUF Mbumbo na CUF OG (original). Pamoja na kua kuna Outstanding Cases kibao Mahakamani dhidi ya CUF Mbumbo lakini ndio kila kukicha inapewa Upendeleo na kila Taasisi za kimaamuzi sio NEC, sio Bunge na hata Serikali yenyewe. Hii ndio mwisho kabisa usitegemee kuiona CUF ngangali kama ya kipindi kile, Prof Kaizika CUF Kihindi, `Kaichoma Moto Maiti`

KIFO CHA ACT WAZALENDO

Ni Kifo rahisi mno

Kifo chao hakihitaji mambo mengi saana kwani hata mwanzo kilitumika kama Authorazed Branch ya CCM. Chama kinakufa kwa kupewa Sub Serikalini basi. Na huyo aliebaki atapewa nafasi serikalini na ndo Mchezo utakua umeishia hapo.

KIFO CHA CHADEMA NA WASHIRIKA WAKE

Hiki sasa ndo kitakua kifo cha Mtu mzima afi kizembezembe.

Hapa kitausika Full kikosi cha maangamizi, sio Police, sio usalama wa Taifa,sio Bunge,sio serikali na taasisi zake tu bari hata mahakama zitahusika yaani haponi mtu hapo.

Kwa Combination za mbinu kadhaa kadhaa za kuihujumu Chadema kama tunavyoona naamini sio muda mrefu Chadema nayo itakaa chini pamoja na washirika wake wote wa UKAWA.

Sasa tunashuhudia Key members kama Tundu Lissu wanavyosakamwa na Tuhuma mbalimbali ili kuwa slow down kabla ya kuwakalisha chini jumla, tunaona Madiwani wanavyoshawishika kukitosa Chama, yaani mpaka tutakaporudi mitamboni mwaka 2020 itakua wameshakarishwa chini wote.


Ni ngumu kuamini lakini naomba tujiandae kiisaikolojia kuishi katika siasa zinazotawaliwa na Chama kimoja.

Cha Muhimu Hapa ni Amani tu Basi

Asanteni.
Nime kuelewa na sina oja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ikiwa mawazo yetu ni haya, kuwa matatizo yaliyopo ndani ya upinzani ni mbinu za CCM na serikali yake kuvimaliza, basi mbinu zao ni za hali ya juu na wapinzani hawakuzistukia mapema. Ninamaana kama ni kweli mkakati wake uliopngwa kwa halo ya juu unaanzia pale upinzani ulipoinfia mkenge wa kumkarobisha Lowassa Upinzani. Kuingia kwake (kwa fikra zeru hizi) ni mazingira yaliyotengenezwa ili kuje kutokee mtifuano na upinzani kuyumba. Watu wameongea na kukosoa sana huko nyuma jinsi jambo lenyewe lilivyoenda. Kwani hakuna vikao vyovyote vya kivyama vilivyo kuwa vikibariki mazungumzo ya kukarivishwa mgeni huyu ila Wenyeviti pekee wakijifungia na Mgeni wao. Kwa mjibu wa Dr Slaa hata Kamati kuu ya Chadema siku ya kikao chao walidokezwa wakiwa kikaoni kuwa kuna Mgeni yupo nje anangoja akaribishwe ana neno. Waswahili wanasema *tusiangalie tylipodondokea tuangalie tulipojikwaa* Interejia zetu hazikubaini na kuwatonya wenyeviti mtego huu wa CCM kuwa ni chambo cha kufa upinzani. NLD na NCCR Mageuzi ni kama havipo na viongozi wote wa upinzani ,wakidhani wanasaidiwa na Mgeni,wanajidai kuipigania CUF wanasahau kwao kunateketea. Madiwani/wabunge wanajiuzuru, viongozi wanatimuana kumbe ni kazi ya CCM na hakuna anayestukia mchezo. Usishangae kikao cha Kamati Kuu ya Maalim Leo nacho kikatimua watu!!! Upinzani amukeni mnajiroga wenyewe, Mbinu iliyodhaniwa ingewaingizeni Ikulu 2015 ilishindikana ni kuachaneni NATO haitokuja kufaa mnazidi kumalizwa rudini kila chama kwenye misingi take na kutafakari mbinu ya 2020. Ili CCM na Serikali take isiendelee kuwavuruga.
 
Back
Top Bottom