Hiki Ndio Kifo cha Upinzani Tanzania

Hiki Ndio Kifo cha Upinzani Tanzania

Nyamsusa JB

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2015
Posts
567
Reaction score
1,565
Tangia kuanzishwa kwa vyama vingi Nchini takribani zaidi ya miongo miwili iliyopita,Vyama vya Upinzani havijawahi kupitia kipindi kigumu cha majaribu kama awamu hii ya Tano.

Ni kana kwamba kuna mpango mkakati wa kuvifutilia mbali hivi vyama vya upinzani, ukiangalia mtiririko wa matukio Makubwa Mabaya dhidi ya Upinzani utapata Picha ya nini kitatokea hapo mbeleni.

Hebu tuangazie Matukio yafutayo tuone kifo cha upinzani kinavyokuja

KIFO CHA CUF.

Kifo Cha CUF kimeandaliwa kupita Prof mwenyewe na Taasisi kadhaa zenye Maamuzi. Mambo yanavyoendelea CUF hasa huku bala ni dhahiri shahiri imeshaangalia Kibra yaani inasubiria kupitishiwa kisu tu. Kumbuka kuna CUF mbili CUF Mbumbo na CUF OG (original). Pamoja na kua kuna Outstanding Cases kibao Mahakamani dhidi ya CUF Mbumbo lakini ndio kila kukicha inapewa Upendeleo na kila Taasisi za kimaamuzi sio NEC, sio Bunge na hata Serikali yenyewe. Hii ndio mwisho kabisa usitegemee kuiona CUF ngangali kama ya kipindi kile, Prof Kaizika CUF Kihindi, `Kaichoma Moto Maiti`

KIFO CHA ACT WAZALENDO

Ni Kifo rahisi mno

Kifo chao hakihitaji mambo mengi saana kwani hata mwanzo kilitumika kama Authorazed Branch ya CCM. Chama kinakufa kwa kupewa Sub Serikalini basi. Na huyo aliebaki atapewa nafasi serikalini na ndo Mchezo utakua umeishia hapo.

KIFO CHA CHADEMA NA WASHIRIKA WAKE

Hiki sasa ndo kitakua kifo cha Mtu mzima afi kizembezembe.

Hapa kitausika Full kikosi cha maangamizi, sio Police, sio usalama wa Taifa,sio Bunge,sio serikali na taasisi zake tu bari hata mahakama zitahusika yaani haponi mtu hapo.

Kwa Combination za mbinu kadhaa kadhaa za kuihujumu Chadema kama tunavyoona naamini sio muda mrefu Chadema nayo itakaa chini pamoja na washirika wake wote wa UKAWA.

Sasa tunashuhudia Key members kama Tundu Lissu wanavyosakamwa na Tuhuma mbalimbali ili kuwa slow down kabla ya kuwakalisha chini jumla, tunaona Madiwani wanavyoshawishika kukitosa Chama, yaani mpaka tutakaporudi mitamboni mwaka 2020 itakua wameshakarishwa chini wote.

Ni ngumu kuamini lakini naomba tujiandae kiisaikolojia kuishi katika siasa zinazotawaliwa na Chama kimoja.

Cha Muhimu Hapa ni Amani tu Basi

Asanteni.
 
Asitafutwe mchawi, hivi vyama vinsjimaliza vyenyewe
 
Umenena mkuu make kasi ninayoiona kwa madiwani wanavyochikichia chama sielewi!! Au kwa sababu hamna mikutano ya kisia au?? Na hao wa CuF walivyopelekwa faster kupigwa chini ubunge yawapasa kujipanga ila 2020 ni pagumu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tangia kuanzishwa kwa vyama vingi Nchini takribani zaidi ya miongo miwili iliyopita,Vyama vya Upinzani havijawahi kupitia kipindi kigumu cha majaribu kama awamu hii ya Tano.

Ni kana kwamba kuna mpango mkakati wa kuvifutilia mbali hivi vyama vya upinzani, ukiangalia mtiririko wa matukio Makubwa Mabaya dhidi ya Upinzani utapata Picha ya nini kitatokea hapo mbeleni.

Hebu tuangazie Matukio yafutayo tuone kifo cha upinzani kinavyokuja

KIFO CHA CUF.

Kifo Cha CUF kimeandaliwa kupita Prof mwenyewe na Taasisi kadhaa zenye Maamuzi. Mambo yanavyoendelea CUF hasa huku bala ni dhahiri shahiri imeshaangalia Kibra yaani inasubiria kupitishiwa kisu tu. Kumbuka kuna CUF mbili CUF Mbumbo na CUF OG (original). Pamoja na kua kuna Outstanding Cases kibao Mahakamani dhidi ya CUF Mbumbo lakini ndio kila kukicha inapewa Upendeleo na kila Taasisi za kimaamuzi sio NEC, sio Bunge na hata Serikali yenyewe. Hii ndio mwisho kabisa usitegemee kuiona CUF ngangali kama ya kipindi kile, Prof Kaizika CUF Kihindi, `Kaichoma Moto Maiti`

KIFO CHA ACT WAZALENDO

Ni Kifo rahisi mno

Kifo chao hakihitaji mambo mengi saana kwani hata mwanzo kilitumika kama Authorazed Branch ya CCM. Chama kinakufa kwa kupewa Sub Serikalini basi. Na huyo aliebaki atapewa nafasi serikalini na ndo Mchezo utakua umeishia hapo.

KIFO CHA CHADEMA NA WASHIRIKA WAKE

Hiki sasa ndo kitakua kifo cha Mtu mzima afi kizembezembe.

Hapa kitausika Full kikosi cha maangamizi, sio Police, sio usalama wa Taifa,sio Bunge,sio serikali na taasisi zake tu bari hata mahakama zitahusika yaani haponi mtu hapo.

Kwa Combination za mbinu kadhaa kadhaa za kuihujumu Chadema kama tunavyoona naamini sio muda mrefu Chadema nayo itakaa chini pamoja na washirika wake wote wa UKAWA.

Sasa tunashuhudia Key members kama Tundu Lissu wanavyosakamwa na Tuhuma mbalimbali ili kuwa slow down kabla ya kuwakalisha chini jumla, tunaona Madiwani wanavyoshawishika kukitosa Chama, yaani mpaka tutakaporudi mitamboni mwaka 2020 itakua wameshakarishwa chini wote.

Ni ngumu kuamini lakini naomba tujiandae kiisaikolojia kuishi katika siasa zinazotawaliwa na Chama kimoja.

Cha Muhimu Hapa ni Amani tu Basi

Asanteni.
images
 
Cuf ilipo inahitaji maamuzi magumu sana!
Cuf haihitaji kikao kingine hata kimoja.
Umoja wa mataifa unaendaga mahali watu elfu mbili au zaidi wamekufa.
Cuf inataka intervention ya umoja wa mataifa kwa kutumia story.

Mimi niliwahi kuwauliza watu wa UNHCR kuwa kwanini wanafanya intervention baada ya machafuko na sio kabla ya machafuko.
Jibu nililolipata ni kuwa ,'thats how we work'.

Mtu ukichomwa msumari wa mguu, ruka kama mtu aliyechomwa na msumari kweli!
Sasa umetulia tu unaongea kimasihara unadhani nani atakuoa attention?
 
Asitafutwe mchawi, hivi vyama vinsjimaliza vyenyewe

Kodi ya wananchi itatumika kumaliza upinzani nchini, nguvu ya rais itatamalaki na hapo hata wanaccm wanaodhani ndio wataonekana chama imara ndio itageuka kuwa chama cha kikabila, udini na ukanda wa waziwazi. Mtashangilia sasa bila kujua upinzani ndio kizuizi cha ukabila, udini na ukanda. Huu uzi tutaurudisha hapa jukwaani muda ukifika na hutaamini.
 
Cuf ilipo inahitaji maamuzi magumu sana!
Cuf haihitaji kikao kingine hata kimoja.
Umoja wa mataifa unaendaga mahali watu elfu mbili au zaidi wamekufa.
Cuf inataka intervention ya umoja wa mataifa kwa kutumia story.

Mimi niliwahi kuwauliza watu wa UNHCR kuwa kwanini wanafanya intervention baada ya machafuko na sio kabla ya machafuko.
Jibu nililolipata ni kuwa ,'thats how we work'.

Mtu ukichomwa msumari wa mguu, ruka kama mtu aliyechomwa na msumari kweli!
Sasa umetulia tu unaongea kimasihara unadhani nani atakuoa attention?
Tumewazoea na tantalila zenu za mtandaoni. Hamna lolote.
 
Ikumbukwe prof Lipumba alikisaliti chama na kuingia mitini!Cha ajabu chama kikafanya vizuri tofauti na matarajio ya Lipumba na waliomtuma!Maalim akashinda Zanzibar na kufanyiwa zengwe!Ulimwengu unalijua hili!
Baada ya hapo wakaona wasipokuwa makini,Cuf itachukua zanzibar!Ukaanzishwa mkakati wa kuimaliza kabla ya 2020!Ndipo hapo Lipumba akarudishwa kwenye game!Akapata usaidizi wa Msajili na kufanikiwa kujipenyeza!Ndio maaba hata ujambazi wa waliotumwa na Lipumba,kushambulia viongozi na waandishi wa habari waliokuwa wanafanya press umekaliwa kimya na mpaka leo lipumba anadunda wakati mtuhumiwa aliyekamatwa kwenye tukio akikiri kutumwa na alikuwa mlinzi wa Lipumba!Hapa wenye akili wanajua ccm na serikali yake wapo nyuma ya Lipumba!
Limekuja sakata hili la lipumba kufukuza wabunge,mchakato umeenda very smooth utadhani hakukuwa na kesi mahakamani juu ya mgogoro wa uongozi!Msajili na Spika wameonesha moja kwa moja kuhusishwa na mpango wa ccm na serikali yake kumtumia lipumba kudhoofisha na kuimaliza CUF!Yote hii ni hofu ya zanzibar kuchukuliwa na CUF!Lipumba katumika kisawasawa na kuweka akili zake mfukoni,njaa imemfanya ageuke mjinga!
WanaCuf ni wakati wa kuchukua maamuzi magumu!Mpiganieni katibu wenu mkuu Maalim Seif ili kukinusuru chama!

NB:"sio kila mzee ana busara na hekima maana hata wapumbav na wajinga huzeeka"!
 
Tangia kuanzishwa kwa vyama vingi Nchini takribani zaidi ya miongo miwili iliyopita,Vyama vya Upinzani havijawahi kupitia kipindi kigumu cha majaribu kama awamu hii ya Tano.

Ni kana kwamba kuna mpango mkakati wa kuvifutilia mbali hivi vyama vya upinzani, ukiangalia mtiririko wa matukio Makubwa Mabaya dhidi ya Upinzani utapata Picha ya nini kitatokea hapo mbeleni.

Hebu tuangazie Matukio yafutayo tuone kifo cha upinzani kinavyokuja

KIFO CHA CUF.

Kifo Cha CUF kimeandaliwa kupita Prof mwenyewe na Taasisi kadhaa zenye Maamuzi. Mambo yanavyoendelea CUF hasa huku bala ni dhahiri shahiri imeshaangalia Kibra yaani inasubiria kupitishiwa kisu tu. Kumbuka kuna CUF mbili CUF Mbumbo na CUF OG (original). Pamoja na kua kuna Outstanding Cases kibao Mahakamani dhidi ya CUF Mbumbo lakini ndio kila kukicha inapewa Upendeleo na kila Taasisi za kimaamuzi sio NEC, sio Bunge na hata Serikali yenyewe. Hii ndio mwisho kabisa usitegemee kuiona CUF ngangali kama ya kipindi kile, Prof Kaizika CUF Kihindi, `Kaichoma Moto Maiti`

KIFO CHA ACT WAZALENDO

Ni Kifo rahisi mno

Kifo chao hakihitaji mambo mengi saana kwani hata mwanzo kilitumika kama Authorazed Branch ya CCM. Chama kinakufa kwa kupewa Sub Serikalini basi. Na huyo aliebaki atapewa nafasi serikalini na ndo Mchezo utakua umeishia hapo.

KIFO CHA CHADEMA NA WASHIRIKA WAKE

Hiki sasa ndo kitakua kifo cha Mtu mzima afi kizembezembe.

Hapa kitausika Full kikosi cha maangamizi, sio Police, sio usalama wa Taifa,sio Bunge,sio serikali na taasisi zake tu bari hata mahakama zitahusika yaani haponi mtu hapo.

Kwa Combination za mbinu kadhaa kadhaa za kuihujumu Chadema kama tunavyoona naamini sio muda mrefu Chadema nayo itakaa chini pamoja na washirika wake wote wa UKAWA.

Sasa tunashuhudia Key members kama Tundu Lissu wanavyosakamwa na Tuhuma mbalimbali ili kuwa slow down kabla ya kuwakalisha chini jumla, tunaona Madiwani wanavyoshawishika kukitosa Chama, yaani mpaka tutakaporudi mitamboni mwaka 2020 itakua wameshakarishwa chini wote.

Ni ngumu kuamini lakini naomba tujiandae kiisaikolojia kuishi katika siasa zinazotawaliwa na Chama kimoja.

Cha Muhimu Hapa ni Amani tu Basi

Asanteni.
Mku itikadi inaishi mioyoni mwa wafuasi kwa Mimi naona upinzani unastawi zaidi kama unakataa twende na muda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: J C

The anger created because of poor management of issues and primitive way of operating the government will make it more difficult for the existing government...more than it was in 2015
 
Hakuna jipya. Haya yameshafanyika nchi nyingine..tumeona au kusoma matokeo..hakuna wa milele!!
 
Mpango huu ni wa ccm kushirikiana na mihimili yote ya dola kuhakikisha upinzani unakufa.

Kulazimisha kupandikiza vibaraka kwenye vyama vya upinzani na hata cuf wakienda mahakamani hawatashindi.

Hapa ni tutumoe mbinu gani si kwenda mahakamani .
 
Back
Top Bottom