Vituka
JF-Expert Member
- Nov 9, 2011
- 2,268
- 1,267
Yafuatayo ni mambo wanaume anapenda kutendewa na m2 wake.
1.mwanamke asiombe pesa.
2.mwanamke alale nae kila anapomhitaji
3.mwanamke asianga sms za mwanaume wake
4.mwanamke asifatilie nyendo za mume
5.akipigiwa cm na mwanamke asiulize ni nani kapiga
6.mwanamke asigombane na mumewe
7.mwanamke kiukweli mumewe
8.mwanamke asiwe na wivu.sasa wanawake kipi kigumu apo timizeni haya basi tuishi kwa amani majumbani
1-5 NGUMU,6 rahisi kama mwanaume atakuwa si mgomvi na msababisha ugomvi, 7 sielewi unamaanisha nini na 8 inaweza kuwa rahisi sana ila consequences zake ni mbaya kwa mwanaume.