Hiki ndicho kitakachoiangusha CCM 2020

Haya maneno kwa Mara ya kwanza yaliandikwa kwa mkono Wa MTU asiyeonekana yakimuonya mfalme Nebukadreza aliyekua jeuri na kiburi kuliko kawaida hata alidiriki kuwataka watu wamuabudu.

Kama mwandishi alikuwa haonekani, sasa wewe au hao walijuaje kama ameandika mtu kwa kutumia mkono wake? Ukumbuke kuna walemavu wanatumia miguu kuandika.

Hii inawezekana kuwa yameandikwa na mtu asiyejulikana NA SIO hasiyeonekana. Kwa maana aliandika na kuweka sehemu bila watu kumuona. Na kama alitumia mkono basi hakukuwa na watu wenye uwezo wa kuandika wenye ulemavu wa mikono.
 
Dua la kuku halimpati mwewe. Mtatamani sana kuwa CCM ishindwe lakini ndo mnatakiwa kusahau. Chini ya sheria hizi za uchaguzi, haiwezekani! Kufikiri kuwa itashindwa ni ndoto na kiini macho!
Watu wameshindwa kufikiri kuiondoa CCM kimkakati wanaleta mawazo ya kichovu kufikiri CCM itaondoka kwa RAMLI.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Subiri 2020 uone evergreen itakavyo chipua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mleta mada...
Umeeleza vema sana.
Shida hawa jamaa wa Lumumba huwa hawaelewi.
Wanaona kama vile 2020 haitafika.
Ilidhaniwa hivyo hivyo 2015 haitafika lakini ilifika na Matokeo yalipatikana na 2020 pia tunajua itafika na matokeo yatatoka kauli itaanza wanadhani 2025 haitafika [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uchambuzi wako murua kabisa tena umehitimisha vizuri kabisa kuwa ushindi kwa upinzani inategemea Uhuru wa tume ya uchaguzi. Nakukumbusha kuwa hayo makundi yote uliyoyataja mchango wake ktk kuiondoa CCM mdarakani kupitia ballot box ni ndoto endapo referee (TUME) ataendelea kubaki huyu huyu, sheria zilezile na uwanja uleule. Lakini vilevile nikukumbushe kuwa watanzania wengi sasa hivi hawana hamasa na CCM Bali JPM na wapinzani wanapaswa kujipanga kimkakati kumkabiri JPM na sio CCM.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanashindwa kupambanua kuwa Umma hauna habari na CCM Bali unahamasika na JPM.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Is there any logic for us to wait for something positive to happen accidentally? Things are made to happen.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

JPM hana nchi wala Taifa ana uraia tu.Tanzania ni yetu sote ataondoka ataiacha Tanzania. Anaweza kuwa na CCM lakini siyo Tanzania. Hana hata Chato sembuse Tanzania!

Msiabudu binadamu mwenzako ni dhambi
 

Pole sana nenda kasome biblia ndiyo utaelewa.Mungu ni muweza wa kila jambo,wala hashindwi kufanya maajabu yake au Muujiza wake.

Ndiyo sababu hata siku na wapi binadamu atafia ,binadamu mwenyewe hapajui
 
Sasa ndugu hiyo CCM itavuliwa kutoka kuwa chama dola na nani kama sio umma na vilevile kama hakuna mikakati thabiti toka ndani ya umma wa Watanzania wenyewe huyo Mungu wa mbinguni ataingilia mlango gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba Mungu kabla haijaanguka,reli ya kati iwe
imekamilika na barabara ya pale tazara ikamilike
mengine malizia wewe.
Kwa nilichokiona uchaguzi
uliopita,sijui kama kura za wapiga
kura zinahitajika ili chama kishinde
labda hiyo sheria ya nebkadreza.
Hawa jamaa sasa hivi wameshindwa kuja na hoja za kimkakati kuthibitisha namna CCM itakavyoshindwa 2020 badala yake wanakuja na matumaini ya ki-Ramli kuwa CCM itaondolewa kutoka kwa majaaliwa ya mbinguni na siku zote hii ndio dalili kuu ya mtu mchovu aliyekata tamaa ktk mapambano ya maisha huwa anajifariji kwa usemi kuwa anamuachia Mungu wakati ni majukumu yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Obvious haya ni macho ya kiutu uzima.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naridhishwa na utendaji kazi wa Magufuli na usimamizi wa ilani ya uchaguzi unaofanywa na CCM
 
Utawala wa mabavu watu hawalijui maana ya hizo pushapu, kilikuwa kitendawili nini maana ya kupiga pushapu watu wakashindwa kujibu kumbe utawala wa kuwapeleka wananchi kwa nguvu uonevu na udkteta hata sasa watu wanajifanya kushangilia tu lkn maumivu wanayo makubwa sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dua la kuku halimpati mwewe. Mtatamani sana kuwa CCM ishindwe lakini ndo mnatakiwa kusahau. Chini ya sheria hizi za uchaguzi, haiwezekani! Kufikiri kuwa itashindwa ni ndoto na kiini macho!


!
!
Babako atakuwa miongoni mwa wale mawaziri
 
JPM hana nchi wala Taifa ana uraia tu.Tanzania ni yetu sote ataondoka ataiacha Tanzania. Anaweza kuwa na CCM lakini siyo Tanzania. Hana hata Chato sembuse Tanzania!

Msiabudu binadamu mwenzako ni dhambi
Tanzania is our MOTHERLAND, ukiitambua maana ya Nahau hii kongwe utagundua kuwa hata wewe Tanzania ni nchi yako. Hakuna anayemuabudu JPM lakini kumheshimu mfalme ni wajibu wa kimaandiko na amri ya Mungu ktk Misahafu ya dini zote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…