Hiki ndicho kitakacho fundishwa katika workshop ya electronics this September

Transistor

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2013
Posts
1,061
Reaction score
1,640
Lengo la mafunzo haya ni kuboresha ujuzi wetu katika uundaji wa vifaa mbalimbali vya kielectronics.

Sababu kubwa ya kutaka kuboresha ujuzi wetu ni katika kuachana na uundaji wa mazoea wa vifaa ambavyo havina ubora au vigezo vya kukubalika katika soko.

Uboreshaji wa uundaji wa vifaa hivi utatusaidia kupenya katika soko la ndani na la nje;hivyo kutufanya tuanze kufanya uzalishaji wa vifaa vyetu kwa wingi.

Uzalishaji wa vifaa hivi umekuwa unafanyika katika scale ndogo hii inasababishwa na ubora wake kwani ni vigumu kupata soko kubwa kwa vifaa visivyo na ubora,au vigezo muhimu.

Pia lengo jingine ni kutafuta uwezekano wa wataalamu hawa wa ku-design vifaa hivi kuunda kundi ambalo litapata fursa ya kuanzisha karakana ambayo itafanya mass production kwa kuzingatia ubora na vigezo vya uzalishaji wa vifaa husika ili kuweza kupenya katika soko lililotawaliwa na wageni.

Lakini itakuwa ngumu kupenya katika soko hili kama tunazalisha vitu visivyo na vigezo wala ubora.

Hivyo ningetamani wabunifu wote wa electronics tukutane pamoja ili tupeane elimu ya namna ya kuboresha utaalamu wetu na kutanua masoko ya vifaa vyetu.

Licha ya kwamba mtaji ni kikwazo lakini kama tutaamua tutaweza;kwa kuunda kikundi cha wataalamu wanaozalisha vifaa vyenye vigezo;itakua,rahisi kwetu kupata mikopo na uwezeshaji kama tutakuwa kama kikundi kuliko kuwa mmoja mmoja;

Na kwakuwa tutakuwa tunazalisha vitu vyenye ubora itakuwa rahisi kwetu kuteka soko kwa vifaa mbalimbali tutakavyo kuwa tunazalisha.

MADA ZITAKAZO FANYIKA KATIKA WORKSHOP HII.

1. Uundaji bora wa vifaa vya power supply (practical and theory).Mfano wa vifaa hivyo ni;-

*Solar power inverter

*Power back Up mfano UPS

*Control charger

Vifaa hivi vimekuwa vikiundwa bila kufata vigezo muhimu hivyo vimekuwa vikiuzwa locally huku vikishinwa kupenya katika soko lililo rasmi.Hivyo katika mafunzo haya tutajifunza vitu vya ziada ambavyo vinakifanya kifaa husika kuwa bora na kinacho kizi vigezo vya soko.

Ili Vifaa hivi vya power supply vikizi vigezo ni lazima view vimeundwa na mifumo muhimu kama

-Over drain battery protector

-Over load protector

-Short circuit cut-off

-Automatic take over(kwa Power backup)

-Automatic battery charger(kwa power back up)

-Pia tutajifunza namna ya kufanya safe and good looking packaging ya vifaa vya namna hii.

MFANO saketi ifuatayo ni ya inveter ambayo haijakizi vigezo muhimu vya kiusalama hivyo ni ngumu kuingia katika soko .Na ndio nyingi zinazo tengenezwa mitaani kwetu!

tyq.jpg

Sakiti hiyo hapo juu imeongezwa mifumo ya sakiti za kiusalama na kukidhi vigezo vya soko na itakuwa kama ifuatavyo.

66666.png

Form za kujiunga na mafunzo haya zimeanza kutolewa na muda wa kurudisha umeongezwa hadi tarehe 15 Steptember 2014

-Watakao hudhuria mafunzo watapata Vyeti

-Mafunzo ya theory ni BURE!

-Mafunzo ya Practical pamoja na cheti ni 20000/(pesa hii inalipwa kwa mkono siku ukifika kwenye workshop usiitume kwa njia yeyote)

-Form ni Shilingi 5000. Unaweza kuzifata hapa Ukonga mzambarauni au unaweza kuzidownload HAPA

-Mafunzo yatafanyikia Gongolambaoto katika shule ya Highmount Internatinal schools jirani na Kampala International university.

-Siku ni kuanzia tarehe 27 September 2014 hadi tarehe 1[SUP]st[/SUP] October 2014

Kwa maelezo zaidi tembelea blog yetu HAPA

Au Wasialiana na transistor kwa number hii 0657-115587

Kwa wale wanaotaka michoro ya sakiti ya namna hii ya mashine za ukubwa mbalimbali pia tuwasiliane.
 
View attachment 182808

Sakiti hiyo hapo juu imeongezwa mifumo ya sakiti za kiusalama na kukidhi vigezo vya soko na itakuwa kama ifuatavyo.

View attachment 182810

Form za kujiunga na mafunzo haya zimeanza kutolewa na muda wa kurudisha umeongezwa hadi tarehe 15 Steptember 2014

-Watakao hudhuria mafunzo watapata Vyeti

-Mafunzo ya theory ni BURE!

-Mafunzo ya Practical pamoja na cheti ni 20000/(pesa hii inalipwa kwa mkono siku ukifika kwenye workshop usiitume kwa njia yeyote)

-Form ni Shilingi 5000. Unaweza kuzifata hapa Ukonga mzambarauni au unaweza kuzidownload HAPA

-Mafunzo yatafanyikia Gongolambaoto katika shule ya Highmount Internatinal schools jirani na Kampala International university.

-Siku ni kuanzia tarehe 27 September 2014 hadi tarehe 1[SUP]st[/SUP] October 2014

Kwa maelezo zaidi tembelea blog yetu HAPA

Au Wasialiana na transistor kwa number hii 0657-115587

Kwa wale wanaotaka michoro ya sakiti ya namna hii ya mashine za ukubwa mbalimbali pia tuwasiliane.

mkuu mimi nina idea na vifaa vya electronics,kwa maana ninaweza kuunda sakiti yoyote nikiwa na mchoro,ninachohitaji kujua katika mafunzo hayo ni kama nitafundishwa jinsi ya kudesign sakiti mimi mwenyewe na kuiunda kwa mfano,nitumie transistor za aina gani niweze kuunda inverter ya watts 150.kwa hiyo ninachohitaji mimi ni kutobaki kutumia michoro ya sakiti za watu wengine,bali nidesign mwenyewe mchoro na kuunda.
 
Hicho ndicho kitu cha msingi kwa designer yeyote wa electronics;karibu tutakufundisha siri nyingi zilizo jificha nyuma ya designing za electronics;ni rahisi sana japo ukiuona mchoro uliokwisha buniwa tayari unahisi kama ni kitu complex.

Electronics design has always been simple karibu!
 
mi nina idea na electronic tangu mda nimesha tengeneza baadhi ya vifaa kwa kufuata maelezo kwenye internet ikiwemo
Laser Light alarm. ambapo nilitumia invisible laser niliyotoa katika dvd rom ya pc. nikaiteg kwenye kibubu changu mtu akikaribia apo alarm inapiga.
kingine ni kofuli la paswod mlango unafunguka kwa pasword tu hakuna njia njingi zaidi ya kutumia password na ikikosewa mara 3 inapiga alarm................
 
nataka nijue mifumo ya electronic jinsi inavyofanya kazi na kuanzisha ubunifuu wa invisible and visible laser security,na password Door. na kuwa mjasiria mali kwani nina ufahamu wa uundaji wa vifaa hivyo lakini sijui jinsi transmission inavyofanya kazi .nitakapo jua naweza kutengeneza za kisasa zaidi na usalam zaidi
 
Back
Top Bottom