CCM ndiyo ina rejuvinate sasa. Kwa sasa Chadema inabidi iwe makini sana kwani ngoma ikilia sana karibu inapasuka. Chadema hawafanyi kazi ya kutosha ya kutengeneza wanachama na viongozi wa ngazi za shinani/vitongoji na hatimaye kijiji/mtaa. Bila kufanya hivyo ushindi itakuwa ni ndoto. Inabidi wajitahidi kuimarisha kuanzia kwenye serikali za mitaa. Wakiwa na serikali za mitaa hata kama CCM itachukuwa serikali kuu itakuwa ngumu sana kupenyeza sera zake. CCM wanalijua hili na ndiyo maana mkakati mkubwa ni kutafuta jinsi ya kuidhoofisha Chadema. Chadema wajenge chama kwenye mizizi na siyo propaganda ya misamiati ya Dowans, ufisadi, etc. Wamwambie mtu wa chini kabisa kama ingekuwa wao ndiyo viongozi ni kitu gani wangefanye ili wamwondoe katika hali aliyonayo ambayo CCM imeshindwa kuondoa kwa miaka 50 iliyopita. Kuhubiri mabaya ya CCM na serikali haitoshi kujenga imani ya Chadema kwa wananchi. Lazima watoe wazo mbadala la suluhisho la matatizo ya wananchi na wananchi watayapima wayasemayo na kutoa ridhaa yao kupitia kwenye sanduku la kura.
Una point mkuu, ila tumia font colour nyingine hii inaumiza kichwa.
Hahahaah CCM imewapiga mwaka jana kwenye uchaguzi leo unatabiri kifo cha CCM ina maana mlipigwa na Mgonjwa? Mkaanza oooh wamechakachua,ooooh container limeingia! Oooh tumeibiwa kura! Ooooh.... Visingizio kibao! Jipangeni nyie CDM msiikadilie CCM nyie mnasiasa za kuja watu mikutanoni wenzenu wana pita nyumba hadi nyumba!
Chama cha mapinduzi kinaelekea ukingoni mwa maisha yake kisisa. Hii inatokana na ukweli kwamba chama hiki hakina umakini wowote na raia wake tena saula ambalo limewakatisha raia tamaa na si kukata tamaa tu balo wamechoshwa na mizengwe ya chama hiki kikongwe. Chama hiki kimekuwa kikishabikia na kutekeleza mambo yasiyo na maslahi kwa raia wala kwa Tanzania.Huku viongozi waking'ana'ania madarakani bila kuwajibika.
1.mikataba isiyo na maslahi kwa taifa (Madini asilimia tatu, Richmond, IPTL)
2.kutokuwajibika kwa viongozi wa ccm (Siku tisini = hakuna siku 90)
3.kuiba kura (Kwa kutumia usalama wa kiongozi)
4.kutumia jeshi la polisi kama vibaraka woa (Kutupa majeniza njiani, na kuchoma mengine)
5.viongozi kusema uongo hadharani (Ujamaa ndio sera ya ccm)
6.kushindwa kudhibiti wawekezaji (TRC Vs TRL, NECO Vs Funiture shop)
7.kutaka kutengeneza katiba mpya kisanii. (Eti uchiguche suala la muungano, Raisi aunde tume!)
Isitoshe hili la dowans kuuzwa wakati kuna kesi ya madai ya mabilioni ya fedha dhidi ya serikali (Dowans is suosed to pay use for failure)
Tena Ngeleja na Pinda wakasimama kushinikiza malipo bila kuchelewa! Rais naye akitoa kali ya mwaka kuwa hata hajawai kumsikia huyo dowansi kama vile haishi tanzania anaishi costa rika.Sasa anayeuza dowansi ni nana! tanesco, wizara ya nishati na madini , mahakama ua mmiliki wake. Ua dowansi ameshalipwa ndo mana maisha yanakuwa magumu kiasi hiki! Manake waandishi wa habari waliacha dowansi wakakimbilia loliondo. (Bado wana kesi ya kuliongopea Bunge na wananchi)
HAYO YOYE YANAPIGILIA MISUMARI YA MWISHO KWENYE JENEZA LA CCM na CCM wakubali kuwa 2015 hawatarudi hata kwa wizi na endapo wataiba waangalie yasije yakawa yale ya Kenya 2007.
CCM ndiyo ina rejuvinate sasa. Kwa sasa Chadema inabidi iwe makini sana kwani ngoma ikilia sana karibu inapasuka. Chadema hawafanyi kazi ya kutosha ya kutengeneza wanachama na viongozi wa ngazi za shinani/vitongoji na hatimaye kijiji/mtaa. Bila kufanya hivyo ushindi itakuwa ni ndoto. Inabidi wajitahidi kuimarisha kuanzia kwenye serikali za mitaa. Wakiwa na serikali za mitaa hata kama CCM itachukuwa serikali kuu itakuwa ngumu sana kupenyeza sera zake. CCM wanalijua hili na ndiyo maana mkakati mkubwa ni kutafuta jinsi ya kuidhoofisha Chadema. Chadema wajenge chama kwenye mizizi na siyo propaganda ya misamiati ya Dowans, ufisadi, etc. Wamwambie mtu wa chini kabisa kama ingekuwa wao ndiyo viongozi ni kitu gani wangefanye ili wamwondoe katika hali aliyonayo ambayo CCM imeshindwa kuondoa kwa miaka 50 iliyopita. Kuhubiri mabaya ya CCM na serikali haitoshi kujenga imani ya Chadema kwa wananchi. Lazima watoe wazo mbadala la suluhisho la matatizo ya wananchi na wananchi watayapima wayasemayo na kutoa ridhaa yao kupitia kwenye sanduku la kura.
Kifo cha CCM sio utabiri ni kitu kilicho wazi kabisa na wala CCM haijapiga lolote isipokuwa wizi na uchakachuaji ambao dawa yake inapikwa. Kwa hali hii hamna pa kutokea, ni kifo tu!
Je, umefanya utafiti...???
hizi siyo sababu za CCM kufa...!! hata kidogo!!!!! haziiuwi CCM ya Julius na watanzania.
fanya utafitiiii........!!!!!!!!!!!!!!