Hiki ndicho cheti changu cha form four

Hiki ndicho cheti changu cha form four

Papa Mobimba

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2018
Posts
1,153
Reaction score
1,359
Mungu ametujalia akili na utashi lakini juhudi ni muhimu ili kuweza kufanikiwa. Nilitia juhudi Mungu akanijalia hiki.

Nilikuwa sina uchaguzi wa masomo mimi, sijui mwana art ama mwanasayansi sikuwa na hizo mimi. Kila kilichotokeza mbele ilikuwa halali yangu.

Mpaka nafika form four nilikuwa sijui cha A, B, C, D au form. Nilikuwa sijui kabisa. Mimi nilikuwa najua marks tu 90, 95 ,mia hizo ndio zilikuwa zangu.

Sasa wenzetu tukiwaambia msome, hamtaki mnashinda na vikaratasi tu mnabet. Endeleeni kubet, betini kwa bidii ili mshinde Jackpot.

View attachment 958685
 
Kizuri unaweza ukawa na cheti hiko ukawa kilaza kiuongozi... wangapi mawaziri n maprofesa lakini hata kuamua jambo dogo hawewezi, mtaani shida lukuki
 
Kumbe ndio jina lako hilo nishakupata.
 
Hata hao wanaobet wapo wenye cheti kama chako.... Tunatofautiana hatua ya maisha...
 
Kizuri unaweza ukawa na cheti hiko ukawa kilaza kiuongozi... wangapi mawaziri n maprofesa lakini hata kuamua jambo dogo hawewezi, mtaani shida lukuki
'A' za siku hizi ni tofauti sana na enzi zetu, unakuta nchi nzima A ya Kiswahili hakuna! Siku hizi kila mtu ana A ya Kiswahili!!!
 
'A' za siku hizi ni tofauti sana na enzi zetu, unakuta nchi nzima A ya Kiswahili hakuna! Siku hizi kila mtu ana A ya Kiswahili!!!
Ha ha ha tena sasa siku hizi afadhali.. ukute mtu ana 'A' ya Shukuru kawambwa ni hatari tupu
 
'A' za siku hizi ni tofauti sana na enzi zetu, unakuta nchi nzima A ya Kiswahili hakuna! Siku hizi kila mtu ana A ya Kiswahili!!!
Watoto wa siku hizi wana akil na wanamuamko na elimu tofaut na zaman , mtu anakunywa ulanzi ndo anaingia darasan .A lazima ziwe chache
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom