Hiki ndicho cheti changu cha form four


Bahati mbaya au nzuri kwa cheti chako utaishia kupata mshahara wa 500,000 -1,300,000 kwa mwezi...

Wakati kuna fala mwenye 4 pale kariakoo, 100,000 kwa siku maana yake m3 kwa mwezi kupitia biashara....

Alafu nawe uzeeni ukishastaafu ukapewa kiinua mgongo chako ndyo utaanza kufanya biashara kama ya huyo anayefanya sahivi ambaye wewe unamuona hana elimu kama wewe...

MAISHA BHANA..
 
Ww ni kilaza!
So umemletea nani akione papasi ww?
Kila member humu JF akileta vyake threads si zitakuwa ni vyeti tu?


Tahira ww
 
Miaka hii ni rahisi sana mwanafunzi kupata division 1 ukilinganisha na miaka ya 80. Mitaala na mitihani imerahisishwa sana.
 
Apige maisha?Thubutu.Tulikuwa na jamaa O-level & A-level ya saba na tatu mpaka GPA 4.5 first class,lakini laifu mtaani wanasomeshwa namba na wale gentmen pass,pia wale la saba au waliorudia 4 & 6.

Elimu ya darasani # maisha halisi ya mtaani.

Kusoma sio lazima uwe na akili,n a kuwa na akili sio lazima uwe na elimu.

Nenda UDASA ukawaone wasomi wetu wanavyoshuka theory na bia balimi mkononi,kufuga kuku na ng'ombe wa maziwa 3,wakati wale ordinary educated wanavyolamba heinken na windhoek pale Ramada Hotel-Ufukweni huku wakimiliki biashara posta na kariakoo.

Maisha sio fair kabisa.

Povu ruhusa,nina omo ya kupangusa.

Ulijitahidi mkuu !!! Vipi maisha nayo umepiga A & B ?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…