Ndiyo mwili wake ulivyo si unajua wanawake hawafanani katika miondoko ya kimapenzi.
Fanya kugoogle hivi
" feeling like to ejaculate but not in women "
Hata kiswahili andika
" kuhisi kukojoa wakati wa faragha kwa mwanamke "
Siku hizi watu kukupa ushauri ni ngumu ingia mitandaoni na ufanye utafiti wa kina.