Hiki kitu ni nini haswa?

Coder 01

Member
Joined
Oct 26, 2017
Posts
29
Reaction score
10
Wakubwa heshime kwenu naomba niende moja kwenye mada mimi ni kijana nina umri usiozidi miaka 20 Nina mpenz na tuko kweny mahusiano kwa muda wa miezi 7 sasa. Na huyu ndio mpenz wangu wa kwanza ,sikuwahi jihusisha na mapenzi hapo awali.

Kifupi sijui ladha ya papuchi nyingini yoyote tafauti na ya huyu mpenzi wangu jambo linalo nitatiza ni kwamba tunapokua kwenye game kuna wakati inafika hatua anasema anahisi "mkojo" anahisi jukojoa kabisa (Si kufika kileleni) Siku zote akihisi iyo hari anasimamisha game na kubadili style.

Hii hali imetokea zaid ya mara tano , nilisha jaribu kumwambia akisikia hiyo hari awe huru tu ila hataki.

Wakubwa nimekuja kwenu kuuliza hii kitu ni nin haswa naombeni ufafanuzi tafadhari na ushauri pia kama ni tatizo cha kuongezea labda kitasaidia kunishauri vizuri# huyu binti tulitoleana bikra wote sikuwahi kukutn na mwanamke kabla naye alikua bikra

Asanteni [emoji120]
 
Watoto wanalilia mapenzi hata kondomu haziwatoshi.


Akiskia mkojo mwambie asubiri akojoe ndiyo utamu wenyewe chaliiake.
 
Hahahaha sasa wewe umejuaje n tatizo hadi uombe ushauri wakati umesema hujawahi kufanya na mwingine ??? Kwani MTU kutaka kukojoa ni ugonjwa ?? Kwani wewe huwa hukojoi ??

Siku nyingine akisema usitoke endelea kupapuchi atakwambia huo mkojo ulikuwa unaenda wapi!
 
wanafunzi tafadhali someni life baada ya kuzingua shule halitakuacha salama
 
Ndiyo mwili wake ulivyo si unajua wanawake hawafanani katika miondoko ya kimapenzi.


Fanya kugoogle hivi

" feeling like to ejaculate but not in women "
Hata kiswahili andika
" kuhisi kukojoa wakati wa faragha kwa mwanamke "

Siku hizi watu kukupa ushauri ni ngumu ingia mitandaoni na ufanye utafiti wa kina.
 
Ninachotaka kukuambia miaka 30 haichagui umempa mimba hujampa, wewe ni mwanafunzi si mwanafunzi, ni yatima si yatima, wewe ndo umemtoa bikra au si wewe, mmetoka mbali mmetoka karibu, mna malengo hamna, amekojoa haja kojoa.
 
We una miaka 20 huyo binti lazima atakuwa na 17 au 18 fulani hivi... umamfumua tu mtoto wa mwamaume mwenzio bila huruma.
 
Wakati anasikia kukojoa mpe kopo akojolee labda anaogopa kukojolea kitandani!!
 
Reactions: ywf
Watoto wanalilia mapenzi hata kondomu haziwatoshi.


Akiskia mkojo mwambie asubiri akojoe ndiyo utamu wenyewe chaliiake.
Kama kwenu kuna "mtoto" wa miaka 20 kondom haimtoshi apelekwe kwa Dr. Mwaka hicho ni kirusi cha kibamiaology. Huwa haipigi alarm hiyo kuwa 'sasa nimekua kondom inanitosha'.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…