Hiki kigari mpaka kifike bongo itanicost sh ngapi?

weka taarifa zake hapa kama jina lake, kimetengenezwa mwaka gani, kinatumia petrol/dizel/charge, kina Cc ngapi utasaidika
 
Wadau Hiki ki kigari mpaka kifike bongo itanicost sh ngap nataka nimnunulie wife aende nacho kazini
Khaa sasa kigari gani icho asee bora umnunulie ata tvs 125cc mpaka ajue kugonga gia utakuwa ushapata hela ya harrier anaconda.
 
Unaweza kuleta part moja moja kwenye begi ukimaliza una unganisha mwenyewe nyumbani, sijui tra watataka kiasi gani kusajiri.
 
Hii ni gari au ndio[emoji24][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wew sio mnunuaji wa magari toka lini uko shop Ali express mambo ya wachina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…