Hiki kifaa cha mbao kama bawaba kinaitwaje na kazi yake ni nini hasa?

Binti Abdullah

JF-Expert Member
Aug 24, 2015
653
536
Hiki kifaa cha mbao kama bawaba kinaitwaje na kazi yake ni nini haswa?
IMG_20200522_155429_891.jpg
IMG_20200523_123641_343.jpg
 
Nimevitumia sana mjukuu wangu, enzi hizo hakukua na viberiti, kuwasha moto ni mpaka kwa hivo vijiti tu.
Umenikumbusha siku hivo vijiti si vikanigomea kuwasha moto na watoto njaa yawauma, yani walijutaa
sipati picha ukiwa unapekecha, na vile mlikuwa hamna nguo. Na kakitambaa pale mbele.

Bibi ulitisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom