Barbarosa JF-Expert Member Joined Apr 16, 2015 Posts 22,583 Reaction score 27,838 Feb 7, 2016 #1 Hili kwenye picha ni Kanisa huko nchini Taiwani lililojengwa kwa mfano wa kiatu!
kahtaan JF-Expert Member Joined Jul 11, 2009 Posts 19,174 Reaction score 11,628 Feb 9, 2016 #2 Teh teh teh. Yaani wanakondoo Wakanyagwe kabisa wakiingia humo na baba mchungaji! Halafu kiatu cha kike! Yaani vitu vingine ni Matusi ya waziwazi kabisa. Hatari sana.
Teh teh teh. Yaani wanakondoo Wakanyagwe kabisa wakiingia humo na baba mchungaji! Halafu kiatu cha kike! Yaani vitu vingine ni Matusi ya waziwazi kabisa. Hatari sana.
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 36,635 Reaction score 89,398 Feb 9, 2016 #3 ubunifu huo
aminiusiamini JF-Expert Member Joined Aug 25, 2011 Posts 3,577 Reaction score 2,227 Feb 9, 2016 #4 kahtaan said: Teh teh teh. Yaani wanakondoo Wakanyagwe kabisa wakiingia humo na baba mchungaji! Hatari sana. Click to expand... sio sawa kukashifu dini za wenzako.we K,kumbuka dini haikupeleki mbinguni. Naona upo mshabiki badala ya muumini. Just mind your own businesses brah
kahtaan said: Teh teh teh. Yaani wanakondoo Wakanyagwe kabisa wakiingia humo na baba mchungaji! Hatari sana. Click to expand... sio sawa kukashifu dini za wenzako.we K,kumbuka dini haikupeleki mbinguni. Naona upo mshabiki badala ya muumini. Just mind your own businesses brah
kahtaan JF-Expert Member Joined Jul 11, 2009 Posts 19,174 Reaction score 11,628 Feb 9, 2016 #5 aminiusiamini said: sio sawa kukashifu dini za wenzako.we K,kumbuka dini haikupeleki mbinguni. Naona upo mshabiki badala ya muumini. Just mind your own businesses brah Click to expand... Nani kakwambia mimi nina mpango wa kwenda mbinguni! Na wapi nimekashfu dini kwenye comments zangu. Au umelewa
aminiusiamini said: sio sawa kukashifu dini za wenzako.we K,kumbuka dini haikupeleki mbinguni. Naona upo mshabiki badala ya muumini. Just mind your own businesses brah Click to expand... Nani kakwambia mimi nina mpango wa kwenda mbinguni! Na wapi nimekashfu dini kwenye comments zangu. Au umelewa
std7 JF-Expert Member Joined May 6, 2011 Posts 2,411 Reaction score 4,200 Feb 9, 2016 #6 aminiusiamini said: sio sawa kukashifu dini za wenzako.we K,kumbuka dini haikupeleki mbinguni. Naona upo mshabiki badala ya muumini. Just mind your own businesses brah Click to expand... Wafuga majini hawaendi mbinguni.
aminiusiamini said: sio sawa kukashifu dini za wenzako.we K,kumbuka dini haikupeleki mbinguni. Naona upo mshabiki badala ya muumini. Just mind your own businesses brah Click to expand... Wafuga majini hawaendi mbinguni.
The Guitarist JF-Expert Member Joined Jul 18, 2015 Posts 3,618 Reaction score 5,416 Jul 18, 2016 #7 kahtaan said: Teh teh teh. Yaani wanakondoo Wakanyagwe kabisa wakiingia humo na baba mchungaji! Halafu kiatu cha kike! Yaani vitu vingine ni Matusi ya waziwazi kabisa. Hatari sana. Click to expand... je kingekua cha kiume kisingekuwa matusi,?
kahtaan said: Teh teh teh. Yaani wanakondoo Wakanyagwe kabisa wakiingia humo na baba mchungaji! Halafu kiatu cha kike! Yaani vitu vingine ni Matusi ya waziwazi kabisa. Hatari sana. Click to expand... je kingekua cha kiume kisingekuwa matusi,?