Hiki chuo mbona maji ni taabu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hiki chuo mbona maji ni taabu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Cassava, Oct 27, 2011.

 1. Cassava

  Cassava JF-Expert Member

  #1
  Oct 27, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 282
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Wadau hapa UDOM mi nashindwa kuelewa kwa nini, chuo kimefunguliwa lakini maji ni ya shida. Hivi hawa wahusika na maji hawajuwi kama chuo kimefunguliwa au mpaka vijana waanze kuimba zile nyimbo zao? Kila college in Tank kubwa la maji lakini hayafunguliwi kunani?
   
 2. C

  CHIPANJE JF-Expert Member

  #2
  Oct 27, 2011
  Joined: May 1, 2011
  Messages: 313
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Ndo miaka 50 ya uhuru.Tuimbe nymbo za kudai haki.
   
 3. l

  lumimwandelile Senior Member

  #3
  Oct 27, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 153
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  hayo ndo mambo ya magamba.
   
Loading...