Huyu alisoma kijuujuu habari ya wezi waitwao 'keyloggers'!
Ndio @Gwangambo, keyloggers. Hawa ni watu wanaotegesha kifaa maalum kwenye keyboard ya kompyuta ili kusoma namba za siri za mtumiaji wa kompyuta hiyo.Huyo jamaa aliyejifunika kwenye atm anafikiri kwamba akijificha namba yake ya siri haitasomwa!Heee! Keyloggers?
Ndio @Gwangambo, keyloggers. Hawa ni watu wanaotegesha kifaa maalum kwenye keyboard ya kompyuta ili kusoma namba za siri za mtumiaji wa kompyuta hiyo.Huyo jamaa aliyejifunika kwenye atm anafikiri kwamba akijificha namba yake ya siri haitasomwa!
Exactly, that's another dimension to it. Jamaa kajificha sana ili apate uhuru wa ku-instal keylogging device kwenye keyboard ya computer. Hackers take all the risks and succeed!Who knows? Pengine huyo jamaa ni mmojawapo wa hao "the so called keyloggers? ndiyo maana amejificha hivyo?
Exactly, that's another dimension to it. Jamaa kajificha sana ili apate uhuru wa ku-instal keylogging device kwenye keyboard ya computer. Hackers take all the risks and succeed!
Mbona banda la nyuma kaacha wazi?