mahindi hayaoti mjini
JF-Expert Member
- Nov 29, 2022
- 2,488
- 2,979
- Thread starter
-
- #121
Kuwa na ukali na minguvu ndio ushupavu? Udhaifu unaupimaje? Kwa matamanio yako? Kwamba rais ni muislam tumlabel dhaifu lakini mwenzetu tumlabel shujaa?Rais dhaifu akishindwa kuongoza Kwa weledi daima hukimbilia kujificha kwenye kivuli cha udini akitumia machawa kutoka dini yake
Ungenijibu na mie ningejibuHapana...na mimi nimeuliza pia
NimekusomaYaani we jamaa!!
Dini ndio zilianzisha vyama vyote unavyoviona na hatma ya huko tuendako inaamuliwa kanisani na misikitini!!
Chadema na upinzani hutumika TU kama ccm inavyotumika na wao!waliamua ccm ndio iaminike halafu wapinzani wawe wapiga kelele Ili ccm isiharibu zaidi !!
Wakati wa jpm walipiga kelele,wakati wa mwinyi kelele zilipigwa pia n.k!!!
Ishu ya udini IPO ndani ya CCM na upinzani Kwa ujumla sio upinzani pekee!!
Kwaheri naona hatuelewaniUngenijibu na mie ningejibu
Karibu sana, mimi bado naendelea na utafitiKwaheri naona hatuelewani
Sisi tunafundishwa kuheshimu umjuae na usiyemjua, maoni ya mtu na rai zake, hata wewe naheshimu matusi yako,Atajibuje upumbavu?
SitaNdiyo maana nimekushauri tuanze kwanza na Bakwata. Au unataka kusema kama Bakwata huikubali, hiyo dini nyingine ndiyo unaikubali?
Kama wamezoeleka kwanini makelele mengi hivi 😁, si muwapotezee kama Hawana effect tuone. Hi ni ishara wazi kauli zao ni mwiba mchungu sana Kwa wanaohusika, wanajua hilo unapenya mpaka ndani.Siyo viongozi wa dini, sema viongozi wa RC, RC ni kanisa baguzi sana halafu ina arrogance flani, inajiona ndio yenye wafuasi wengi, inafikiri linaogopwa ukwl ni kuwa hakuna anayewajali. Wameshazoeleka hawana ht aibu kila Rais akiwa muislam hawatuliagi ni nyaraka. Bahati nzuri nchi hii inawafahamu, siku hizi wanapuuzwa ni sawa na mbwa asiye na meno. Wanajiaibisha tu bora wangetulia. Waombe hekima na maarifa ya Kimungu
Matusi yapi mkuu , husemi?Sisi tunafundishwa kuheshimu umjuae na usiyemjua, maoni ya mtu na rai zake, hata wewe naheshimu matusi yako,
Utafiti unaendelea na mwisho nitaleta mrejesho endelea kutukana
Acha tisha watu , unaulizwa ni matusi gani ,hujibu so ukipost upumbavu usijibwe ? Lazima jibiwa maana sie sio wapumbavu.Sisi tunafundishwa kuheshimu umjuae na usiyemjua, maoni ya mtu na rai zake, hata wewe naheshimu matusi yako,
Utafiti unaendelea na mwisho nitaleta mrejesho endelea kutukana
Moderator Burn uyu mpumbavuSisi tunafundishwa kuheshimu umjuae na usiyemjua, maoni ya mtu na rai zake, hata wewe naheshimu matusi yako,
Utafiti unaendelea na mwisho nitaleta mrejesho endelea kutukana
Majuzi kati Naibu waziri Mkuu alienda kwenye upadrisho, kule alifuata nini? Yaani Serikali ilifuata nini kwemye shughuli ya kidini????Kwanini matamko yao yanaungwa mkono na viongozi wa dini?
Ni either wanaanza wao kusema au kutoa tamko na halafu viongozi wa dini flani wanaunga mkono na kusisitiza au wananza viongozi wa dini flani kisha wao wanaunga mkono na kusisitiza,
Tena hao viongozi wa hicho chama wanatoa matamko ya kuamrisha serikali na wala sio kushauri au kupendekeza
Yaani ni amri tu kwanini lakin
Waungwana msifute hii, acheni tujadili tupeane faida
Burn 🤣🤣🤣🤣🤣Moderator Burn uyu mpumbavu
Mungu akubariki mtoa mada, umesema kweli kabisa. Hayo matusi meengi na makali unayotukanwa ni ushahidi wa ukweli uliousema, wanakuwa wakali sababu wanataka kuficha huo udini wao ambao haufichiki Sasa.Kwanini matamko yao yanaungwa mkono na viongozi wa dini?
Ni either wanaanza wao kusema au kutoa tamko na halafu viongozi wa dini flani wanaunga mkono na kusisitiza au wananza viongozi wa dini flani kisha wao wanaunga mkono na kusisitiza,
Tena hao viongozi wa hicho chama wanatoa matamko ya kuamrisha serikali na wala sio kushauri au kupendekeza
Yaani ni amri tu kwanini lakin
Waungwana msifute hii, acheni tujadili tupeane faida
Issue ni rais wa sasa, ni dhaifu sana na kila mwenye akili tulivu analijua, achana na wale watumwa wa primitive mythologyKuwa na ukali na minguvu ndio ushupavu? Udhaifu unaupimaje? Kwa matamanio yako? Kwamba rais ni muislam tumlabel dhaifu lakini mwenzetu tumlabel shujaa?
Uadilifu ni shida sana
Ameen na wewe akubariki kwa kuchangia, na bado utafiti unaendeleaMungu akubariki mtoa mada, umesema kweli kabisa. Hayo matusi meengi na makali unayotukanwa ni ushahidi wa ukweli uliousema, wanakuwa wakali sababu wanataka kuficha huo udini wao ambao haufichiki Sasa.
Ndio nikauliza kipimo cha udhaifu, au ni vile hamsikii au hamuoni yanayoamuliwa na kalamu? Mambo mengine na hatua nyingine hubaki siri mda mrefu tu hata mileleIssue ni rais wa sasa, ni dhaifu sana na kila mwenye akili tulivu analijua, achana na wale watumwa wa primitive mythology
Labda ilialikwaMajuzi kati Naibu waziri Mkuu alienda kwenye upadrisho, kule alifuata nini? Yaani Serikali ilifuata nini kwemye shughuli ya kidini????