Hiki chama ni cha kidini?

Wewe ndiye mdini kwanini wengine hawajaona kwa jicho la udini, kinywa cha mtu hutamka yaujazayo moyo wake. Bakwata inaunga mkono CCM kwa hiyo tuseme CCM ni chama cha Kiislamu? Tumia akili hiyo hiyo kidogo uliyobakishiwa.
Na ndio maana wakatoliki wanaunga mkono chadema?
 
Ndiyo maana nimekushauri tuanze kwanza na Bakwata. Au unataka kusema kama Bakwata huikubali, hiyo dini nyingine ndiyo unaikubali?
 
Wakatoliki wanaunga mkono uwepo wa amani na haki kwenye nchi. Na siyo kuhubiri tu kuhusu amani, huku haki ya wananchi muchagua viongozi wanao wataka, ikiendelea kudhulumiwa na wahuni wachache.
Ccm imeleta amani inchi hii mpaka inamwagika, na penye amani ndi penye haki ila wakatoliki wamezoea fujo na ndio wakanzisha na kudhamini mauaji ya kimbari na hata kongo sasa wanakazana kuua watu, n afrika ya kati ndio wanaua sana ndugu zetu, ila siku vikianza na sisi hapa tutawashughulikia kweli bwashee

Chadema ni wakatoliki watupu
 
Isije tu ikawa ninabishana hapa na kitoto cha 2010+
Kama akili yako inakuambia eti ccm imeleta amani kwenye hii nchi! Basi ni ushahidi tosha wewe ni hamnazo.
 
Najua kuna idara zenu maalum za kuhandle haya mambo na naona hapa mumetumwa kuja kuipoteza hoja ila najua ujumbe umeshafika na sitachoka kuwakumbusha

Swali liko pale pale je hiki ni chama cha kidini?
 
Isije tu ikawa ninabishana hapa na kitoto cha 2010+
Kama akili yako inakuambia eti ccm imeleta amani kwenye hii nchi! Basi ni ushahidi tosha wewe ni hamnazo.
Unataka kusema ni chadema ndio imeleta?
Sasa hapo nani mtoto
 
Kwani mufti anasemaje??
 
CHIEF PRIEST jamaa yako kala kona

Nimeuliza swali mimi wala sikutaka kuungwa mkono, yeyote anaweza kujibu

Swali: je chama kile ni cha kidini?
 
Ndugu, lazima utakuwa na tatizo la akili. Kama ungekuwa na akili timamu lazima ungekujua kuwa hapa Tanzania hakuna chama kinachoungwa mkono au kukataliwa na dini moja.

Kuna wachungaji, manabii, maaskofu na kuna mashekhe pia wanaoimba wimbo wa CCM, 'tulinde amani' (ie hata kama hakuna haki). Kwa uchache, umesikia tamko la Malasusa na shekhe mkuu wa BAKWATA, wakiimba huo wimbo.

Lakini wapo viongozi wa dini, maaskofu, wachungaji, manabii, mashekhe, wanaungana na watanzania walio wengi kuwa huwezi kuongelea Amani, bila kuongrlea HAKI. Hawa wanaungana na wananchi wengi wenye akili timamu, wasio wanafiki, wanaoipenda nchi yao, wanaoona wazi kuwa mifumo yetu ya udhulumaji haki iliyotamalaki kwenye nchi hii, ni tishio kwa amani yetu, tukitaka amani ya kweli ni lazima tufanyie maboresho ya sheria na mifumo inayotengeneza mazingira ya kuwadhumuru wananchi. SHURA YA MAIMAMU, TEC, Maaskofu, wachungaji, manabii na mashekhe, mmoja mmoja wamesimama kwenye msingi huu.

Na hakika, yeyote ambaye hataki kurekebisha na kubora mifumo yetu ambayo ni ya kuwadhulumu wananchi mamalaka yao, ni mashetani na maibilisi wakubwa.

Nchi inataka haki, haitaki kuendelea na ushetani unaofurahiwa na tale maibilisi ya CCM.
 
Umenipunguzia like moja,
Nina elfu mbili plus unaweza kuzipunguza pia ila ukweli ni swali lipi pale pale,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…