Hiii Mnaizungumziaje Wakuu

Hiii Mnaizungumziaje Wakuu

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,154
Reaction score
13,267
DSC01092.JPG
Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Mhe. Dkt. Titus Kamani (Mb) (mwenye miwani), akiwa katika zoezi la kuteketeza nyavu
haramu alipotembelea mwalo wa Kasanga katika Mkoa wa Rukwa.
 
Hapo anachoma kwa furaha,pia yampasa aludi hapo atoe mikopo nafuu kwa wavuvi Ili waweze kununua nyavu stahiki.hapo atakuwa amewasadia...
 
Hapo anachoma kwa furaha,pia yampasa aludi hapo atoe mikopo nafuu kwa wavuvi Ili waweze kununua nyavu stahiki.hapo atakuwa amewasadia...
ndio maana kila mwezi kila mwaka wanazichoma
 
Yaani wakuu wala msifurahie kabisa hii kitu.
_hii inchi ina uonevu sana,hizo nyavu zinapita wapi hadi zikamfikia mvuvi na kwanini wasiende kule kwa ma godown?
 
Yaani wakuu wala msifurahie kabisa hii kitu.
_hii inchi ina uonevu sana,hizo nyavu zinapita wapi hadi zikamfikia mvuvi na kwanini wasiende kule kwa ma godown?
asante sana, what goes around comes around
 
Back
Top Bottom