tena ukipata receiver ambayo ina nguvu na mpeg4 kama strong srt 4899x,astrovox nk utaipata mpaka dubai sports ambayo wanaonyesha epl tena wakitangaza kwa kiingereza.channel nyingi siku hizi zinarusha matangazo kwa mtindo ambao ukiwa na mpeg4 unazikamata vizuri.mediacom ni receiver ambazo hazina nguvu kabisaaa labda kwa channel zetu inafaa.