Hii ya wamachinga kunyanyaswa na manispaa ya jiji ni haki?

Mbuna

JF-Expert Member
Jul 3, 2013
269
71
Nimepita sehemu mbalimbali za jiji la Dar es saalam na kujionea mateso wanayopata wamachinga.

Niliweza kuongea na wafanyabiashara wadogo wadogo wawili watatu, kwa kweli machozi yalinitoka kwa jinsi mgambo wa jiji walivyoharibu mali zao na nyingine kuwatapeli kabisa, mbaya zaidi wafanyabiashara hawa hawa huwa kuna ushuru wanatozwa kila siku na kuishia mikononi mwa serikali za mitaa na manispaa.

Mwisho mimi naona suluhisho ni kuongea na viongozi waliopo madarakani na wasipotupatia suluhisho ni kuwapiga chini tu 2015 kwenye uchaguzi...
 
Back
Top Bottom