Hii ya Uganda imekaaje mazee

Godee jr

JF-Expert Member
Apr 17, 2012
1,820
2,479
Acha picha ziongee
1459323722209.jpg
1459323732473.jpg
1459323744337.jpg
1459323754045.jpg
 
Hii safi sana, maana usalama wa watazamaji ni muhimu sana, lakini pia wakina dada wanachekelea
 
Mwangalie zebra picha nama 1 alivyo na furaha halafu mwangalie kwenye picha namba 2 anavyosubiri zamu yake kwa hamu.
 
Ila wanachelea kabisa. Alafu kwani ilikuwa ni lazima watumie mikono
 
Mbona kama hawa wadada wanafurahia! Ama ndo kuonyesha ushirikiano kwa vyombo vya usalama!?
 
Udhalilishaji huu kwani hakuna Askari wa kike wa kuwakagua??
 
Dah! Huku ni kupekuliwa au kutomaswa mbona ni huko kanda ya kati tuuuu jamaniiiiii
 
Ati "... making sure the ladies aren't carrying any weapon of mass destruction...."

Wakati hicho kilichopo katikati ya miguu yao ni silaha ya maangamizi tosha... watu wanachinjana, kuuwana, kudhulumiana, kulia kama watoto wadogo, kudanganya, kujinyonga kisa hiyo kitu...
 
Hii safi sana, maana usalama wa watazamaji ni muhimu sana, lakini pia wakina dada wanachekelea

Ingekuwa hapa ni TZ wako (mnaowafahamu) ambao wangeanza kumshutumu Rais tena basi kwa kumtaja jina lake...viongozi wao wangeandika barua MCC na nchi za magharibi....yule shangazi wa haki za binadamu angeishambulia serikali na siyo polisi
 
Back
Top Bottom