Mr.mzumbe
JF-Expert Member
- Oct 11, 2011
- 1,014
- 957
Mimi ndo napata habari hii leo. La msingi umeme uwepo, Hili la kuwateua, katiba yetu dhaifu inampa mamlaka hayo bila kuhojiwa na mtu yeyote ikiwepo Bunge - I think so.
Kweli mwanasiasa wewe ni mchumia tumbo.,!!mambo madogo kama hayo umeshindwa kuyafahamu mpaka upate habari jf!!!Eti unajiita "mwenyekiti wa segerea wa CDM"!!penda kufatiria mambo mkubwa,mbona Mboma yupo muda mrefu tu.Nasijui kama nikikupa homework yakutaja mawaziri wa 5 na wizara zao,sijui kama utapata!