Imeandikwa"usiogope auae mwili bali yule mwenye uwezo wa kuua mwili na roho"........anyway_Mwakyembe is alive mkuuNimefika Dar sas hivi nikitokea Mwanza, nafika hapa Airport nasikia taarifa ambazo nahisi ni taarifa za uzushi, eti Dr Mwakyembe Amefariki. Haraka nikaingia JF ili nipate taarifa. Lakini sikukuta kitu kama hicho, nikajua haikuwa sahihi, kwani JF hutoa taarifa ndani ya Dakika moja jambo linapotokea!
Wakuu kwani kuna nini?
Inachekesha, taarifa nazo zinakuja kama abiria....zifikie airport au bandarini halafu ndio zije uraiani...hahaaa!!! RIP
Nimefika Dar sas hivi nikitokea Mwanza, nafika hapa Airport nasikia taarifa ambazo nahisi ni taarifa za uzushi, eti Dr Mwakyembe Amefariki. Haraka nikaingia JF ili nipate taarifa. Lakini sikukuta kitu kama hicho, nikajua haikuwa sahihi, kwani JF hutoa taarifa ndani ya Dakika moja jambo linapotokea!
Wakuu kwani kuna nini?
jamaa ni mzima ...taarifa kutoka kwa ndugu wa karibu ..so guys msihofu
wewe huyo aliekupa hizo taarifa ndio ungemwambia akuthibitishie , badala ya kukimbilia JF, KWANI unadhani JF habari zinajiupdate zenyewe ? wewe nawe vipi ?!
wala hampaswi kumshambulia wakuu anataka kujua na kwa anaiamini jf akaamua kuzama mara moja...mkuu ni maneno tu ya watu jamaa bado hajafa bado yuko huko apolo
hahaaah Huyo jamaaa anatafuta uvumi kupitia JF, na kwakua kakuta hakuna uvumi mpya kaamua kuuzusha yeyeKapata uvumi sio taarifa. uvumi huo ulisambaa sana jana ukimhusisha yeye na Mh Zitto. Lakini washindwe kwa jina la alie juu. Kwa taarifa za ki-"intelijensia" Dr Mwaky anaendelea vizuri tu.