Hii washing room ktk toilet za kiume mmmmh!

CPU

JF-Expert Member
Jan 13, 2011
3,863
686
Akina dada naomba mnisamehe kwa hii picha, ila nataka kuelimisha watu hasa watanzania wenzangu kuhusu wenzetu "WANAVYOPIGA HATUA" mbele kwa udhalilishaji kwa design mpya kila siku.

man_wash_hands.jpg
 
Imagine Public toilets za Dar zipo hivi . . . .
 
....Ha ha ha ha ha ha ha ha ha...........kama sio mambo ya photoshop........ukistaajabu ya musa.............
 
Akina dada naomba mnisamehe kwa hii picha, ila nataka kuelimisha watu hasa watanzania wenzangu kuhusu wenzetu "WANAVYOPIGA HATUA" mbele kwa udhalilishaji kwa design mpya kila siku.

View attachment 21277

Duh! Hii KIBOKO. Hasa ile ya kule mwisho. Hiyo inabidi unawe huku umechuchumaa kidogo. Sisi wapiga tungi/chicha/kilauri/matingazi/maji ya mende tunaomba huduma hii isambae nchi nzima. Natumaini mawaziri na wabunge wenye biashara za baa na mahoteli makubwa mnaweza iga utaratibu huu.
 
very difficult to comment, but if i could, i would wash my hands in not less than 4hrs. tehe heheheheheehe
 
very difficult to comment, but if i could, i would wash my hands in not less than 4hrs. tehe heheheheheehe

Daaah! Sasa kama kwa movement moja ya toilet unaosha 4hrs, ukienda mara 3 je?? Kazini itakuwaje?? Hahahahah
 
Back
Top Bottom