hii vipi?

hivi nao ngombe wanakunywa maji chumvi

maeneo ya kigamboni kule na maeneo mengine karibu na fukwe kuna wafugaji na nadhani hapo mchungaji akichoka nae huwa anapita maeneo hayo, au hiyo ni njia kuelekea nyumbani au machungioni
 
fukwe safi sana

tanzania tuna zile S tatu matata( 3S )ambazo ni SEA, SUN and SAND, kwa maeneo mengine wana (4S ) Yaani SEA, SAND, SUN and SEX, haya maeneo bila shaka yatakua maeneo ya caribbean na thailand, wazungu wanawake wanafuata mijamaa ya kicaribbean na midume ya kizungu inafuata vitoto vya kiasia, nadhani mitaa ya kwetu pia hiyo S ya 4 pia imeanza kunukia, huko mambo ya pwani ya afrika mashariki, hata hivyo watalii wana mahitaji mengine, sasa kuna 5S hapo kuna SEA, SAND, SUN, SEX na SANGRIA, sangria ni mitungi, yaani mtalii anaamua kwenda eneo flani akafaidi mitungi ya eneo hilo inalotembelea, teh teh, nina uhakika bongo tunazo tatu tuu, ila kama zikine zinaonyesha dalili tunaweza kuelimishana
 
Ulongo mtupu, hii picha ni ya kawe beach, imepigwa kutoka kawe club na island ndogo inayoonekana ni karibu na bongoyo/slipway.
unamaanisha picha ya mwisho chini mkuu? hata mimi sina uhakika wa location ya hiyo picha ila za juu zote ni 100%
 
Tatizo kwetu huku beach zimevamiwa na wahuni. Huko Huko Kigamboni maeneo ya Buyuni na Pemba Mnazi kuna beach nzuri nazo ziko mikononi mwa wahuni/wahujumu
 

Attachments

  • 0f7c7c7dd5b91dea5b9455aa44db-medium.jpg
    0f7c7c7dd5b91dea5b9455aa44db-medium.jpg
    12.3 KB · Views: 55
Back
Top Bottom