LOL! Jamani kweli ndoa ngumu kama habari zenyewe ndio hiziWandugu humu jamvini hebu mnisaidie hapa. Jana nilipotoka kazini kwangu nilipita sehemu na jamaa yangu tulisom wote chuo lakini tukapoteana kwa takribani miaka 7. Kwa hiyo katika kupat nafasi ya mazungumzo tukaamua tukae mahali ambapo tulikuwa tukipata kinywaji huku tukiendelea na mazungumzo na mamaaa nilimfahamisha jambo hili kuwa niko na huyo jamaa yangu ambaye nae pia anamfahamu. Baada ya kushindilia kilaji cha kutosha tukaagana na jamaa nami nikaelekea kwangu. Kiukweli nilipofika home baada ya kuoga nilimstua mamsap kuwa sitakula kula chakula. Baada ya mazungumzo kidogo tukaenda kulala nami kama kawaida ukizingatia nilishapiga na kilaji cha kutosha nilikuwa na hamu na mamsapu sana ukizingatia nilitandika vi-emolo vitatu na mambo mengine. Tukiendelea kupeana raha ghafla akaniuliza kitu ambacho sijapata jibu mpaka muda..Kuwa mbona nilikuwa natumia nguvu sana mbona wenzangu hawatumii nguvu sana?? Kwa kweli lile neno " mbona wenzako hawatumii nguvu" Ilibidi nisite kwanza kusukuma mzigo na kumuluuliza wenzangu akina nani?? hata yeye aliduwaa kwanza na zoezi likasimama moja kwa moja baada ya kumbana sana akadai alimaanisha kuwa eti mtu akiwa na mpenzi wake hakuhitaiki maguvu...Lakini bado akili hainipi kabisa!!! Hebu nishaurini au anamaanisha nina wasaidizi ambao ni soft touch???
Ulichukua uamuzi gani mkubwa baada ya kugundua? Ulipiga mzigo chini au ulienda kuongeza urefu wa vidole vyako!? LOL!Mh mkuu usipaniki sana lkn jaribu kuchunguza, sidhani km unaweza ukasema kitu ambacho huna experience nacho, na watu wengi sana huwa wanaumbuka wakiwa ktk majamboz, Huko nyuma Kuna demu alishawahi niambia eti napenda mwanaume mwenye vidole virefu vya miguu, tukagombana sana lkn after three months nikaja jua kile alichomaanisha alikuwa na mwanaume mwenye vidole virefu. so fanya uchunguzi mkubwa
Pole sana Mkuu huo ni ushahidi wa kutosha kabisa kwamba kuna njemba mnakula nao sahani moja tena si mmoja.
Pole sana Mkuu huo ni ushahidi wa kutosha kabisa kwamba kuna njemba mnakula nao sahani moja tena si mmoja.
Ni kweli dada kimya kimya its a huge turn off but kama hujafikishwa kiasi cha kuanza kugumia si bora uwe kimya ajue tu kuwa bado hajakufikisha!
Maana napata picha huyu shosty mwenzetu si kwamba hakuwa amefikishwa bali hata mawazo yake yaliwezasafiri seriously hadi kwenye sijui movie zite au story za mashogaze kama si kulinganisha ujuzi, wakati mwenzie anachanja mbuga lol.
Umenikumbusha shogangu mmoja yeye alikuwa majamboni sasa akataka kumfurahisha shemeji akajifanya ndo kafika na sauti imekauka kwa mafeelings ikamtoka oh honey please nifeel mimi (hata sijui alikuwa anamanisha nini hapa) sasa ile feel ikasikika vibaya ........ alijuta!!
Mi kama hujanifikisha bwana nakaa kimya ujue tu kuwa sijafiki so uongeze bidii kazini la sivyo tutadiscuss ukimaliza!
haki ya nani leo unaniacha hoi,lol....mie bwana ndio cwezi kunyamazaga kabisa, kanifikisha namwambia, hajanifikisha namwambia ajielewe kabisa acjitoe mijasho bure for nothing.
[/COLOR]