Hii video ni hatari

Kweli Muumba kaumba. And yet, tunawachagua hao viongozi kwenda kutukanana kwa bunge. Hata hao wazazi nao ni wa ajabu kabisa. Kwa nini wasiamue kuanzisha skuli yao home??
 
Yaani mwalimu asipomwona mwanafunzi anaassume amechukuliwa na mafuriko hivyo harambee za maombolezo fasta zitafuata
 
Very very shame to community sourround wafanye harambee waende stima company iwape strong wire two na nguzo poles four kubwa watengeneze temporary bridge ya wire na mbao kuliko kusubiri watoto wote kufa na water,hata kutengeneza small boat wanangoja muzungu aje adonate.This is shame
 
Back
Top Bottom