Hii umewai kuona

Hii umewai kuona

ndechilio shoo

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2013
Posts
997
Reaction score
365
Habari Ndugu zangu humu?hamjambo !kipindi nipo seminary miaka ya 10 iliyopita,nimelala kitanda cha juu ,kumbe anayelala chini anavaa chupi za kike,ana mwili mkubwa,nilijua kaiba kwa mabinti,bweni zima walikuwa wanajua na wanaogopa kuuliza ,nikamuuliza jamaa mbele za watu ,alisema chupi za kiume zinamchubua kwa hiyo akawa anavaa ili asichubuke,jamaa alikuwa jasiri anavaa mbele za watu kwa kujiamini .
 
Naonaga tu zile picha za utani za wanaume wa mikoani wakiwa wamevaa hizo chupi za kike
 
Sjawah kuona wala kusikia ndio nimesoma kutoka kwako
 
Gazeti hilo ukitaka kujuwa we siku mkiwa wawili mwambie ila ukivaa hizo mabikini zako huwa unanivutiya sana jibu lake ndo utafaham
 
Habari Ndugu zangu humu?hamjambo !kipindi nipo seminary miaka ya 10 iliyopita,nimelala kitanda cha juu ,kumbe anayelala chini anavaa chupi za kike,ana mwili mkubwa,nilijua kaiba kwa mabinti,bweni zima walikuwa wanajua na wanaogopa kuuliza ,nikamuuliza jamaa mbele za watu ,alisema chupi za kiume zinamchubua kwa hiyo akawa anavaa ili asichubuke,jamaa alikuwa jasiri anavaa mbele za watu kwa kujiamini .
Sasa kama alikuwa Msukuma unachoshangaa ni nini...
 
Kumbe na wewe umesoma seminary, Itaga au wapi hiyo mkuu? Au kipalapala?
 
Nimeshudia wanawake wakisifia kuvaa chupi za wapenzi wao lakin wanaume wanapondana
 
Back
Top Bottom